Harmonize naye ni mafia. Cheki alichomfanyia Angela

Harmonize naye ni mafia. Cheki alichomfanyia Angela

Yaaah mkuu...coz alivunja mkataba

Ila Angela alivunjiwa mkataba
Shukrani, sijajua nani kavunja mkataba..

Nikajua ni yeye anjella ambae hajakamilisha album kama vile ambavyo mkataba ulivyokuwa unasema, kuna sehemu amekiri hakukamilisha album kwa wakati alipata chamgamoto za mguu
 
Baada ya Konde kulia mbele ya media ku justify ubaya wa mondi, kumbe nae alimfanyia Angella [emoji23][emoji23]

"Sikuwahi kuwa na mimba ya Harmonize wala hatukuwahi kuwa kwenye mahusiano na hakuwahi kunitongoza hata siku moja. Ni kweli walichukua account za YouTube na nyingine lakini account yangu ya Instagram waliniachia hawakuwahi kuichukua wala hawakunichaji pesa yoyote, na hata nilipoondoka hawakunipa hata senti tano ya kuanzia maisha[emoji24]."

"Baadae walinirudishia account zangu zote, na kwasasa zinanisaidia sana, nawashukuru sana kwa hilo[emoji120] namshukuru Mungu sasa hivi pesa zote za nyimbo zangu zinaingia kwangu moja kwa moja, angalau naishi maisha ya amani, siyo kama zamani, siwezi kusema napata shilingi ngapi lakini Alhamdulillah napata kitu tofauti na zamani."
View attachment 2667042
Sasa kama All is Well analialia nini!???
 
Bado ni wema, kwani mmakonde pamoja na kwenda basata si alitemeshwa milioni 500 na wasafi?
Ww nae uwe unaelewa mkataba wa wasafi na harmonize ilikua ni kama harmonize anataka kuvunja mkataba anatakiwa alipe 500milion

Mkataba wa konde gang ni kwamba kama msanii atataka kuvunja mkataba atalipa bilion 1 ila kama lebo konde gang ndo inataka kuvunja watakulipa milion 10 usepe.

Sasa harmonize yeye ndo alivunja mkataba ndmna aliwalipq wasafi. ila hao wasanii wa konde gang hawakutaka kuondoka ktk lebo ila lebo ndo iliwavunjia mkataba ndmna hawajalipa. Je umeelewa?

Huyo dem alienda basata baada ya kunyang'anywa account zake wakati wao waliovunja mkataba walipaswa kumlipa
 
Katika kitu ambacho nashukuru wazazi wangu ni kunilea kwa kujitambua. Siwezi hata siku moja kupoteza muda wangu kufuatilia ujinga unaofanywa na watu kama hawa. Nitaanzaje kufuatilia ni kahaba yupi anatembea na kipanga yupi?
Mbona hapa unafatilia mkuu?
 
wanaposaini mikataba huko aisee ivyo vipengele wanakuwa hawavioni ?

maana naamini vipi ndiyo maana hawaburuzani mahakamani kwamba mmoja ka breach terms za mkataba

waache kutafuta huruma

Mikata ya harmonize kama ya DP world na tanzania tu, baadae watu watajiuliza waliosaini mikataba ya bandari walikua vipofu?
 
Mi naona suluhisho ya haya yote ni mtu ajikwamue kuanzia chini mpaka ajulikane kwa nguvu zake mwenyewe.

Hii kutegemea fulani akutoe mara nyingi inaletaga shida huko mbeleni.
 
Baada ya Konde kulia mbele ya media ku justify ubaya wa mondi, kumbe nae alimfanyia Angella [emoji23][emoji23]

"Sikuwahi kuwa na mimba ya Harmonize wala hatukuwahi kuwa kwenye mahusiano na hakuwahi kunitongoza hata siku moja. Ni kweli walichukua account za YouTube na nyingine lakini account yangu ya Instagram waliniachia hawakuwahi kuichukua wala hawakunichaji pesa yoyote, na hata nilipoondoka hawakunipa hata senti tano ya kuanzia maisha[emoji24]."

"Baadae walinirudishia account zangu zote, na kwasasa zinanisaidia sana, nawashukuru sana kwa hilo[emoji120] namshukuru Mungu sasa hivi pesa zote za nyimbo zangu zinaingia kwangu moja kwa moja, angalau naishi maisha ya amani, siyo kama zamani, siwezi kusema napata shilingi ngapi lakini Alhamdulillah napata kitu tofauti na zamani."
View attachment 2667042
Demu mwenyewe mbovu 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom