Harmonize ni mnafiki sana

Write your reply...sawa tumesikia kwa hiyo
 
Write your reply...sawa tumesikia kwa hiyo
 
Inaonyesha hili jamaa [emoji115] ni punga
 
Mbona Diamond ilifikia hatua akaachana na show za clouds licha ya kupewa support kubwa?,iweje kwa Konde boy iwe unafiki? Konde boy anatakiwa akapige goti clouds la sivyo atapotea kweli cz jamaa mziki wake hauna mizizi Bali mziki wake ulitegemea nguvu ya Diamond.
 
Kasahaulika ee...?! Konde boy [emoji4] , nakapenda(ga) tu kale kasauti.
 
Uwamuzi wa harmonize ni wake binafsi. kama alivyoamua kujiunga wcb na ndivyo alivyoamua kujiondoa wcb. Binafsi daima nampongeza mwenye uthubutu na sio tegemezi kama mtoa hoja.
 
HUYU dogo alifanya vishoo hapo mtwara akajaza watu, akajua tz nzima inamkubali, kumbe na wala panya wenzie tu...

akipanda stejini anaongea kilugha tu ... mamamame ataisoma namba
 
HUYU dogo alifanya vishoo hapo mtwara akajaza watu, akajua tz nzima inamkubali, kumbe na wala panya wenzie tu...

akipanda stejini anaongea kilugha tu ... mamamame ataisoma namba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Wanaume wa dar kwenye ubora wao
 
We ndo boya la karne sasa. Sijui unasaport WCB ipi maana sisi mashabiki wa WCB bado tunamsapot kondeboy kwa kuwa hajatoka kwa mabaya na hajatangaza kashfa yoyote kwa WCB. Nyie mashabiki fake.

On top of that Harmonize anafanya vizuri sana. Hii nhoma yake mpya na Edy Kenzo ni bonge la hit na angalia views zake, na ipo kwenye trending! Takozo bouyer wewe
 
Mwanaume macho kwenye noti hakikisha dili ni halali na pesa ni safi mengine achana nayo,,,,big up kwa konde boy kama huko kunalipa kaza buti riziki mafungu buku na yake ipo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…