Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
We mwanaume unaumia nini? Au we ni Diamond platnumz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonyesha hili jamaa [emoji115] ni pungaKatika wasanii wa Tanzania wanaoongoza kwa unafiki basi Harmonize ni namba moja.
Jamaa ni mnafiki sana yani anajaribu kutafuta huruma ya wananchi kujifanya yeye ni mwema na kutengeneza picha mbaya kwa wenzake waonekane kama wana roho mbaya na wabinafsi.
Tangu ajitoe WCB ,watu hawana habari naye na taratibu ameshaanza kusahaulika japo hajafikisha hata mwezi jambo ambalo linamuumiza sana roho .
Miongoni mwa vitu vinavyomuumiza roho ni kitendo cha sasa hivi kufyatua fyatua nyimbo kila kukicha lakini mapokezi yamekuwa finyu sana hata zile views zimepungua kwa kasi sana.
Jamaa anatoa nyimbo ila wenzake hawamsapoti wamemuacha apambane na hali yake, sasa anajifanya ni mwema sana kwa ku repost nyimbo za wenzake ili aonekane hana kinyongo licha ya kutosapotiwa.
He he he he na bado lazima anyooke mwaka huu, hiyo ni trela tu picha halisi bado.
WCB ni kama maji usipoyanywa utayaoga.
Kitendo cha yeye kujitenga kwenye show ya wasafi na kupanda private transport ni dharau ya hali ya juu,pia kitendo cha kutoshiriki wasafi festival licha ya kushikwa mkono mpaka kufika alipofika ni ukosefu wa nidhamu sasa acha avune alichokipanda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HUYU dogo alifanya vishoo hapo mtwara akajaza watu, akajua tz nzima inamkubali, kumbe na wala panya wenzie tu...
akipanda stejini anaongea kilugha tu ... mamamame ataisoma namba
Now days yamesha kuwa 9Rizki mafungu saba
Clouds hawakuwai kumshika ebooooohUnajua licha ya Clouds Fm kumshika mkono Diamond na kumfikisha mahali fulani lakini Diamond alikataa kupiga show za Clouds za Bure kisa tu eti 'walimshika mkono'.
Katika wasanii wa Tanzania wanaoongoza kwa unafiki basi Harmonize ni namba moja.
Jamaa ni mnafiki sana yani anajaribu kutafuta huruma ya wananchi kujifanya yeye ni mwema na kutengeneza picha mbaya kwa wenzake waonekane kama wana roho mbaya na wabinafsi.
Tangu ajitoe WCB ,watu hawana habari naye na taratibu ameshaanza kusahaulika japo hajafikisha hata mwezi jambo ambalo linamuumiza sana roho .
Miongoni mwa vitu vinavyomuumiza roho ni kitendo cha sasa hivi kufyatua fyatua nyimbo kila kukicha lakini mapokezi yamekuwa finyu sana hata zile views zimepungua kwa kasi sana.
Jamaa anatoa nyimbo ila wenzake hawamsapoti wamemuacha apambane na hali yake, sasa anajifanya ni mwema sana kwa ku repost nyimbo za wenzake ili aonekane hana kinyongo licha ya kutosapotiwa.
He he he he na bado lazima anyooke mwaka huu, hiyo ni trela tu picha halisi bado.
WCB ni kama maji usipoyanywa utayaoga.
Kitendo cha yeye kujitenga kwenye show ya wasafi na kupanda private transport ni dharau ya hali ya juu,pia kitendo cha kutoshiriki wasafi festival licha ya kushikwa mkono mpaka kufika alipofika ni ukosefu wa nidhamu sasa acha avune alichokipanda.
We ndo boya la karne sasa. Sijui unasaport WCB ipi maana sisi mashabiki wa WCB bado tunamsapot kondeboy kwa kuwa hajatoka kwa mabaya na hajatangaza kashfa yoyote kwa WCB. Nyie mashabiki fake.Katika wasanii wa Tanzania wanaoongoza kwa unafiki basi Harmonize ni namba moja.