Harmonize ni msanii aliyekosa ‘Focus’

dogo tafuta hela achana na harmonize, kumpenda kwako diamond na kumchukia harmonize hakiusaidii chochote kipesa...tafuta hela kijana..huyu unayemfungulia thread majuzi kachukua pesa nyingi sana huko CRDB na ndio balozi wao..sasa wewe endelea kupoteza muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo chuki iko wapi? au unacomment imradi uonekane na wewe umecomment
 
Umeongea point kubwa. Uko sahihi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna watu bado wanafuatilia upuuzi wa bongo flavour?
Hivi kuna msanii wa bongo flavour anaweza kutoboa kipindi hiki? Thubutu.
 
Umeongea kitu kikubwa sana mkuu. Mimi nilijua mpaka kufikia kujiondoa wasafi,nikajua tayari ameshajenga connection kubwa kuzunguka Africa kipindi anaenda nenda nje kufanya show?. Kumbe alijiengue kwa kujidanganya na zile show alizokuwa anainuliwa na management ya WCB?. Kikubwa arudi nyuma ajiinue kwanza yeye sana awe mkubwa sana. Asifuate kushindana na leble alikotoka. Vinginevyo hizo hela za Sara anazoringia zitakata siku. Ninachokijua Hamo ni bonge moja la msanii,bonge moja la mtunzi mjanja. Ila toka atoke wasafi ni kama amepanick

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutajakataa huoni kama msanii wake ibrah bado ni chpkizi... Harmonize kamtoa ibra wakati huo album yake haina hata miezi 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo apa ni bedroom mdundo wake ukiwa kwa gari au kwa bed its self jojo inakaa mbali sana inaonekana ya kitoto tofautina hii bedroom
 
Watu wanaabudu watu.

Domo kawa mungu.

Magufuli kawa mungu.

Mbowe kawa mungu.

AliKiba kawa mungu.
 
walomjaza upepo kua yeye ni zaidi ya mondi ndo walimdanganya so now amebaki kuhaha tu kuwaprove watu kua anaweza bt hali si shwari

kama mnafuatilia hivi karibuni amekua akipost picha za mond kutaka huruma bt mchezo aliukosea mwanzo kitu ambacho kitamgharimu daily

mtu unalazimisha kushindana na mtu ambae views wake wa youtube pekee kwa mwaka unalazimika kuchukua views wa wasanii wote bongo ndo mumkaribie hapo ndo utajua kua kukurupuka nacho kipaji.

nb: kupotea hawezi bt atabaki kua msanii local daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…