Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ushauri wowote kutoka kambi pinzani ni wa kuangalia mara 2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapost lini picha ya mond mkuu ?walomjaza upepo kua yeye ni zaidi ya mondi ndo walimdanganya so now amebaki kuhaha tu kuwaprove watu kua anaweza bt hali si shwari
kama mnafuatilia hivi karibuni amekua akipost picha za mond kutaka huruma bt mchezo aliukosea mwanzo kitu ambacho kitamgharimu daily
mtu unalazimisha kushindana na mtu ambae views wake wa youtube pekee kwa mwaka unalazimika kuchukua views wa wasanii wote bongo ndo mumkaribie hapo ndo utajua kua kukurupuka nacho kipaji.
nb: kupotea hawezi bt atabaki kua msanii local daima
sasa kwanini walimtoza mil 500 kama fidia ya kuvunja mkataba?
Harmonize nazikubali sana nyimbo zake jamani, yani toka yuko wcb ni msanii ambae i cnt wait kusikia nyimbo zake, hata sasa bado naukubali mziki wake mana ushabiki maandazi siwezi, kwangu mimi its all abt good music. But.
Namuona anahangaika saaana, kwanza its like survival yake inategemea kumuiga mond, pili anatumia kingi kuliko anachoingiza hiyo yote apate ku prove a point kwamba naweza, alafu ile tabia yake ya kujinyenyekeza kinafki na kutafuta tafuta huruma za jamii inanikera ile mbaya, na kujifanya wa hekima sana kumbe nyuma ya pazia he is just another ungrateful maskini akipata.
Halafu kitu ambacho watu hawakijui, watu wanazani harmonize ndo alianza kutaka kujitoa wcb lakini ukweli ni kwamba waliitilafiana na mond so uongozi wakaamua kumuondoa, yeye harmonize akajitahidi kuondoa ile tofauti ili aendelee kubaki wacb mpaka kwenda kuongea na mama diamond lakini Diamond alikataa katakata ndo mwisho wa yote ikabidi akubali kwamba inabidi atoke na kuanza kujionyesha kwamba anataka kutoka lakini ni kwamba ilikuwa atolewe
No need to panic broHuu upupu kawadanganye kijijini kwenu huko.. Wasikojua chochete kuhusu harmonize na Wcb
Au tafuta interview mbalimbali za kuhusu hili saka ukishaunganisha dot njoo ufute hii pumba yako hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
dogo anajiona mjaanja [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
mimi nimeamua kumpuuza coz naamini anatatizo linamsumbua(Obsession)
alimroga?Harmonize nazikubali sana nyimbo zake jamani, yani toka yuko wcb ni msanii ambae i cnt wait kusikia nyimbo zake, hata sasa bado naukubali mziki wake mana ushabiki maandazi siwezi, kwangu mimi its all abt good music. But.
Namuona anahangaika saaana, kwanza its like survival yake inategemea kumuiga mond, pili anatumia kingi kuliko anachoingiza hiyo yote apate ku prove a point kwamba naweza, alafu ile tabia yake ya kujinyenyekeza kinafki na kutafuta tafuta huruma za jamii inanikera ile mbaya, na kujifanya wa hekima sana kumbe nyuma ya pazia he is just another ungrateful maskini akipata.
Halafu kitu ambacho watu hawakijui, watu wanazani harmonize ndo alianza kutaka kujitoa wcb lakini ukweli ni kwamba waliitilafiana na mond so uongozi wakaamua kumuondoa, yeye harmonize akajitahidi kuondoa ile tofauti ili aendelee kubaki wacb mpaka kwenda kuongea na mama diamond lakini Diamond alikataa katakata ndo mwisho wa yote ikabidi akubali kwamba inabidi atoke na kuanza kujionyesha kwamba anataka kutoka lakini ni kwamba ilikuwa atolewe
Konde boy ka fail saana..yeye mwenyewe kujisimamia kashindwa ataweza vp kusimamia MsaniiHarmonize Ni msanii mzuri aliyekosa focus ajui kipi Cha kusimamia na kipi cha kusimamia leo atakuja na hili kesho yake atakuja na lingine ataacha la mwanzo.Alivyotoka wasafi alianzisha bus la mgahawa wakutoa chakula bure lakini imeishia njiani sasa sijajua alikuwa ana Nia ya dhati au alikuwa ana tafuta public sympathy ili apate mashabiki baada ya kupoteza mashabiki wengi wa WCB?
Mwaka Huu kamtambulisha msanii wake ibra kwenye label yake ya konde gang baada tu ibra kutambulisha wimbo mpya muda mfupi harmonize katoa bedroom remix ajampa kabisa airtime ya msanii wake kusikilizwa hii imesababisha bedroom remix kufeli na at the same time msanii wake kufeli.
Me nazani Harmonize angefocus kujiinua binafsi kuliko kuanzisha label ajafika kabisa level ya kuanzisha label asimilia kubwa wasanii wanaoanzisha label Ni wale ambao wamefanya vizuri Sana na wameacha legacy ya mziki mondi kaanzisha label ya WCB ikiwa teyali amefanya mambo makubwa bongo na yupo on top amekuwa top 4 ya wasanii wanaofanya vizuri Africa alishatengeneza connection muda mrefu na ametengeneza mashabiki wengi wengi kwenye mziki na wafuasi, angalia Don jazzy na label yake ya Marvin Ni msanii ambaye alishatengeneza fan base kubwa Africa lakini pia ana respect ya mziki wake.
Level aliyeitengeneza akiwa WCB tofauti na level aliyopo sasa, sasa hiv Harmonize kufikisha tu viewers mil 1 Ni ngumu sawa na mlevi kuona uzima wa milele ukiangalia tu kupata show za nje imekuwa tabu kupata tofauti na alipokuwa wasafi ukiangalia pia kwenye mauzo ya digital amekuwa Ni msanii wa tatu akiachwa nyuma na Rayvanny wakati alivyokuwa wasafi akitoka diamond msanii anayepata mauzo mengi ya digital Ni Harmonize ukiangalia hivyo unaona kabisa kwanini asifocus kujiinua zaidi kuliko kufocus na mambo ambayo yapo juu ya uwezo wake.
Jana nimeshangaa anataka kumrudisha eti Rich mavoko wakati qchilla kashindwa kumrudisha na hapo hapo anataka ibra aende mjini na nimeshangazwa pia na namna alivyoandika kuhusu rich mavoko kaandika as if rich anafanyiwa figisu na yeye Ni mwema hivi Hawa Nani aliwadaganya kutafuta public sympathy ndio njia ya kupata mashabiki royal? kwanini usifanye mziki mzuri hao mashabiki watakuja tu automatically kuliko hiyo njia.
NB: kondeboy focus kwenye kujijenga na kupata mashabiki wako royal kuliko kurukia rukia mambo na kutafuta kiki ambazo hazina maana unapoteza hela za Sara na za kwako bure.
Na ile Rap ya Mond kule mkoani ya "....sijui nini nini nimesalitiwa na Jeshi wakashindwa kunipindua...!! Unaielezeaje? Vipi kuhusu kauli ya Sallam SK ndani ya Block 89 akijibu swali kuhusu kutoonekana Harmonize WASAFI akajibu kuwa Hamornize kwasasa (wakati huo) yupo wasafi kimaandishi tu ila moyo wake haupo wasafi, na kwamba ameandika barua ya kuterminate mkataba kinachosubiriwa maamuzi tu ya uongozi. Akaongeza kuwa Harmonize amewasapraizi wasafi kwa matukio mengi tu nje ya uongozi kujua ikiwemo kumpandisha msanii kwenye jukwa la wasafi festival bila ridhaa ya uongozi. Haya matukio yote mbona kama yanapingana na maelezo yako hayo mkuu..??Harmonize nazikubali sana nyimbo zake jamani, yani toka yuko wcb ni msanii ambae i cnt wait kusikia nyimbo zake, hata sasa bado naukubali mziki wake mana ushabiki maandazi siwezi, kwangu mimi its all abt good music. But.
Namuona anahangaika saaana, kwanza its like survival yake inategemea kumuiga mond, pili anatumia kingi kuliko anachoingiza hiyo yote apate ku prove a point kwamba naweza, alafu ile tabia yake ya kujinyenyekeza kinafki na kutafuta tafuta huruma za jamii inanikera ile mbaya, na kujifanya wa hekima sana kumbe nyuma ya pazia he is just another ungrateful maskini akipata.
Halafu kitu ambacho watu hawakijui, watu wanazani harmonize ndo alianza kutaka kujitoa wcb lakini ukweli ni kwamba waliitilafiana na mond so uongozi wakaamua kumuondoa, yeye harmonize akajitahidi kuondoa ile tofauti ili aendelee kubaki wacb mpaka kwenda kuongea na mama diamond lakini Diamond alikataa katakata ndo mwisho wa yote ikabidi akubali kwamba inabidi atoke na kuanza kujionyesha kwamba anataka kutoka lakini ni kwamba ilikuwa atolewe
Changia kidogo basi kwenye hili.Aisee
katika Ibada hii utakuwa mchungaji /kiongozi wwWatu wanaabudu watu.
Domo kawa mungu.
Magufuli kawa mungu.
Mbowe kawa mungu.
AliKiba kawa mungu.
Kama yeye ni bingwa wa kurudisha wasanii kwenye ramani amrudishe H-Baba[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya tumekusikia mwijaku