Harmonize ni msanii aliyekosa ‘Focus’

Harmonize ni msanii aliyekosa ‘Focus’

Harmonize nyimbo ya wife,fall in love,nakupenda malaika..ni nyimbo nzuri sana mbona lakini hujazitolea video au kweli ulikua umekopi??
 
Harmonize nyimbo ya wife,fall in love,nakupenda malaika..ni nyimbo nzuri sana mbona lakini hujazitolea video au kweli ulikua umekopi??
Wife hajacopy ila fall in love na malaika ndo kacopy kiufupi album yake kawekeza kwenye ngoma ya bedroom naona hizo zingine kapotezea.
 
Harmonize nyimbo ya wife,fall in love,nakupenda malaika..ni nyimbo nzuri sana mbona lakini hujazitolea video au kweli ulikua umekopi??
Kasema ana video 14 za album yake na tarehe 27 mwezi wa sita ana show uwanja wa Uhuru na karibia wasanii wote aliowashirikisha watakuwepo.

Ngoja tusubiri.
 
walomjaza upepo kua yeye ni zaidi ya mondi ndo walimdanganya so now amebaki kuhaha tu kuwaprove watu kua anaweza bt hali si shwari

kama mnafuatilia hivi karibuni amekua akipost picha za mond kutaka huruma bt mchezo aliukosea mwanzo kitu ambacho kitamgharimu daily

mtu unalazimisha kushindana na mtu ambae views wake wa youtube pekee kwa mwaka unalazimika kuchukua views wa wasanii wote bongo ndo mumkaribie hapo ndo utajua kua kukurupuka nacho kipaji.

nb: kupotea hawezi bt atabaki kua msanii local daima
How awe local milele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harmonize Ni msanii mzuri aliyekosa focus ajui kipi Cha kusimamia na kipi cha kusimamia leo atakuja na hili kesho yake atakuja na lingine ataacha la mwanzo.Alivyotoka wasafi alianzisha bus la mgahawa wakutoa chakula bure lakini imeishia njiani sasa sijajua alikuwa ana Nia ya dhati au alikuwa ana tafuta public sympathy ili apate mashabiki baada ya kupoteza mashabiki wengi wa WCB?

Mwaka Huu kamtambulisha msanii wake ibra kwenye label yake ya konde gang baada tu ibra kutambulisha wimbo mpya muda mfupi harmonize katoa bedroom remix ajampa kabisa airtime ya msanii wake kusikilizwa hii imesababisha bedroom remix kufeli na at the same time msanii wake kufeli.

Me nazani Harmonize angefocus kujiinua binafsi kuliko kuanzisha label ajafika kabisa level ya kuanzisha label asimilia kubwa wasanii wanaoanzisha label Ni wale ambao wamefanya vizuri Sana na wameacha legacy ya mziki mondi kaanzisha label ya WCB ikiwa teyali amefanya mambo makubwa bongo na yupo on top amekuwa top 4 ya wasanii wanaofanya vizuri Africa alishatengeneza connection muda mrefu na ametengeneza mashabiki wengi wengi kwenye mziki na wafuasi, angalia Don jazzy na label yake ya Marvin Ni msanii ambaye alishatengeneza fan base kubwa Africa lakini pia ana respect ya mziki wake.

Level aliyeitengeneza akiwa WCB tofauti na level aliyopo sasa, sasa hiv Harmonize kufikisha tu viewers mil 1 Ni ngumu sawa na mlevi kuona uzima wa milele ukiangalia tu kupata show za nje imekuwa tabu kupata tofauti na alipokuwa wasafi ukiangalia pia kwenye mauzo ya digital amekuwa Ni msanii wa tatu akiachwa nyuma na Rayvanny wakati alivyokuwa wasafi akitoka diamond msanii anayepata mauzo mengi ya digital Ni Harmonize ukiangalia hivyo unaona kabisa kwanini asifocus kujiinua zaidi kuliko kufocus na mambo ambayo yapo juu ya uwezo wake.

Jana nimeshangaa anataka kumrudisha eti Rich mavoko wakati qchilla kashindwa kumrudisha na hapo hapo anataka ibra aende mjini na nimeshangazwa pia na namna alivyoandika kuhusu rich mavoko kaandika as if rich anafanyiwa figisu na yeye Ni mwema hivi Hawa Nani aliwadaganya kutafuta public sympathy ndio njia ya kupata mashabiki royal? kwanini usifanye mziki mzuri hao mashabiki watakuja tu automatically kuliko hiyo njia.

NB: kondeboy focus kwenye kujijenga na kupata mashabiki wako royal kuliko kurukia rukia mambo na kutafuta kiki ambazo hazina maana unapoteza hela za Sara na za kwako bure.
Niaje msela mbona unanikera
Amapiano hit
 
Back
Top Bottom