Harmonize ni star anayekimbiza sanaa kwa sasa

Ukimtaja harmonize tafadhari sana usimlinganishe na WCB. Tafuta mtu wa size yake. Diamond ni level nyingine kabisa.

Yani natamani nikifa, kwenye msiba wapige ngoma za MOND tu maana ntapumzika nikiwa nimeburudika sana au hata kufufuka inawezekana.
Profile picture yako inazingua knm man.
 
Uzi mzima unajibu reply za kila mtu
Uchawa wako kwa wcb kila mtu anajua ndio wanakupa bando.
Unamlazimisha mtoa mada awe chawa wa wasafi kama wewe si katoa maoni yake?
Utakuja kuolewa Dogo
Una hasira as if ni mke wa harmonize
 
Diamond anamzidi harmo tu kwenye hela ila kwa mziki mtam diamond anakimbizwa sasa hivi ,hadi diamond Sasa hivi kama kapotea
 
Mleta mada upo sahihi Ukweli lazima usemwe kwa kweli huyu jamaa wazipokuwa makini anaweza wapoteza .
 
Mleta mada upo sahihi Ukweli lazima usemwe kwa kweli huyu jamaa wazipokuwa makini anaweza wapoteza .
Show yake aliyofanya marekani imebuma Tena ni club kwa style hii atamkimbiza Nani? hadi mwezi Huu tumefika kafanya show moja tu Tena ni hiyo
 
Show yake aliyofanya marekani imebuma Tena ni club kwa style hii atamkimbiza Nani? hadi mwezi Huu tumefika kafanya show moja tu Tena ni hiyo
Msanii gani wa bongo alifanya shoo hapo marekani ikaheat

Wale wale tu pipa na mfuniko
 
Msanii gani wa bongo alifanya shoo hapo marekani ikaheat

Wale wale tu pipa na mfuniko
Wewe ufuatilii mziki ni Diamond mwaka Jana na mwaka Huu pia ana show usa nenda kaangalie atachofanya uwezi kufananisha na Huu upuuzi wa harmonize hata club anashindwa kujaza?
 
Reactions: Qwy
Blah blahs kila mtu anaweza kuongea chake though unaweza kuwa right lakini hiyo si sampling sahihi, ingia kwenye streamings uone nyimbo gani zinabamba zaidi, huyo Harmo hata kwa Rayvanny anabaki nyuma sasa kumuweka Sadala kwenye hizo levels ni kichekesho sana.
Facts huwa zinajieleza, Diamond nyimbo yoyote atakayotoa lazima iongoze kwa Tz na Kenya just check the records hata wimbo aliotoa recently. Huyo dogo bado sana aendelee tu kushindana na wa level zake, hebu angalia digital platforms ili ubishani wa kijinga wa vijiweni usio na hard facts uishe kistaarabu.
 
Mleta mada upo sahihi Ukweli lazima usemwe kwa kweli huyu jamaa wazipokuwa makini anaweza wapoteza .
Mauzo ya nyimbo kazidiwa hadi na Zuchu ambaye kaja kwenye mziki ana mwaka tu kwenye platform zote kama spotify n.k kwa style hiyo atampoteza Nani? Show zenyewe anazofanya zinabuma mashabiki wanaingia wachache mfano mzuri ni hiyo aliyofanya USA Tena kafanyia club alafu kashindwa kujaza hapo kuna msanii kweli Wakumtisha Diamond ? Tuzo zenyewe tu kuwa nominees ni tabu kwake achilia tu kupata
Mmea Jr
Qwy
Mshana Jr
 
Digital platform bro some time zina tengenezwa.

Sa kama mwamba anaweza ongeza ama punguza Viewers katika hizo hizo Platform digital basi hata huko kwenye streamings anaweza akawachezeshea vile vile ndombolo ya solo[emoji1787]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ukweli mtupu harmonize anajitaid mnoo kuleta ladha ya mziki na ushindan...mondi sifa zimemlevya ila dogo yuko vizur sema wabongo hawataki mpinzan wa mondi
 
Digital platforms zinatengenezwa how.....?

Ina maana huko Sportfy, Tidal, Itune,Boomblay duuu.......πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sometimes kama kitu hujui bora ukae kimya hupungukiwi kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…