Harmonize ni star anayekimbiza sanaa kwa sasa

Mnatumia nguvu vizuri vinaonekana mziache number ziongee,si alikuwa na tour (Konde in da club) kwenye hizo hizo sehemu za starehe karibia mikoa 18 kafanya mkoa mmoja halafu kimya,sasa hivi anazalilika US.
Ha ha ha
 
Harmonise kweli anakimbiza sanaaa hasa ukitembea kumbi nyingi za Starehe ngoma zake ndo zina bamba sanaaa.

Hata Kajalee naona kama anamuwaza dogo sana hasa na Post zake kule Inst.Na hisi kwa jinsi anavyo kubalika.

Anangoma zikigongaa hatarii na jamaa hana shobo japo watz wengi wanaaminishwa bila WCB basi haujui...mziki

Kweli Diamond amesaulika sana kwa kweli.

Bila kuleta timu Mondi ama Tim Harmo.

Harmo kwasasa Nyota nzuriii.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mamserenger najua unajaribu kumpamba Harmo! Ni haki yako kabisa..lakini fanya hivyo bila kumlinganisha na Mondi..! Mondi ni above next level kwa Harmo. Hivi uliona wapi sikio likazidi kichwa?
 
Ukimtaja harmonize tafadhari sana usimlinganishe na WCB. Tafuta mtu wa size yake. Diamond ni level nyingine kabisa.

Yani natamani nikifa, kwenye msiba wapige ngoma za MOND tu maana ntapumzika nikiwa nimeburudika sana au hata kufufuka inawezekana.
Tengeneza top ten kabisa ambayo tutaanza nayo
 
Harmonise kweli anakimbiza sanaaa hasa ukitembea kumbi nyingi za Starehe ngoma zake ndo zina bamba sanaaa.

Hata Kajalee naona kama anamuwaza dogo sana hasa na Post zake kule Inst.Na hisi kwa jinsi anavyo kubalika.

Anangoma zikigongaa hatarii na jamaa hana shobo japo watz wengi wanaaminishwa bila WCB basi haujui...mziki

Kweli Diamond amesaulika sana kwa kweli.

Bila kuleta timu Mondi ama Tim Harmo.

Harmo kwasasa Nyota nzuriii.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mamserenger harmonize aliacha mbaraka pale WCB akaondoka na KIVIMA yaan ilibid aagwe na uongoz na apewe mkono wa hero na crew ya wasafi... Hata Ile siku anazingua albam yake pale mcity.ilibidi awaalike WALE WA CLEAN.sasa yeye anataka ajiungishe YEYE MWENYEWE kwenye indastri ya muziki...litabaki jina tu
 
Mimi sitaki kuwalinganisha Ila ukweli niliojionea mwenyewe kwa sehemu mbali mbali hasa hili hili jiji la dar kuanzia kwenye library za uswaz ,clubs mbal mbal na majumbani mziki unaotrend kwasasa ni wa KONDE Hilo halina ubishi hasa hizi nyimbo zake tatu za amapiano ni msala .

Saiz nipo hapa dar kwa siku kadhaa maana mm ni mwanaume wa mkoani hivyo nakujaga dar kuwasalimia Wala mahindi kwa ndimu[emoji23][emoji23] sasa Kuna jiran yangu hapa Ana sabufa yake yaan asubuh had jion wimbo unaopigwa ni ule wa teacher KONDE yaan had kero
 
Mamserenger najua unajaribu kumpamba Harmo! Ni haki yako kabisa..lakini fanya hivyo bila kumlinganisha na Mondi..! Mondi ni above next level kwa Harmo. Hivi uliona wapi sikio likazidi kichwa?
Mshana unasema kweli

Ila sijampambanisha na Mond ila kwa sasa Ngoma zake zina heat sanaa kumbi nyingi za Starehee.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mimi sitaki kuwalinganisha Ila ukweli niliojionea mwenyewe kwa sehemu mbali mbali hasa hili hili jiji la dar kuanzia kwenye library za uswaz ,clubs mbal mbal na majumbani mziki unaotrend kwasasa ni wa KONDE Hilo halina ubishi hasa hizi nyimbo zake tatu za amapiano ni msala .

Saiz nipo hapa dar kwa siku kadhaa maana mm ni mwanaume wa mkoani hivyo nakujaga dar kuwasalimia Wala mahindi kwa ndimu[emoji23][emoji23] sasa Kuna jiran yangu hapa Ana sabufa yake yaan asubuh had jion wimbo unaopigwa ni ule wa teacher KONDE yaan had kero
Watu wana ubishi tuu ...

Na hawataki kuelewa kuwa asaivi kitaa Mond kapoa sanaaaa.

Ngoma za Konde bila kujali kiki ebhana zinagongwa mnooo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Uzi mzima unajibu reply za kila mtu
Uchawa wako kwa wcb kila mtu anajua ndio wanakupa bando.
Unamlazimisha mtoa mada awe chawa wa wasafi kama wewe si katoa maoni yake?
Utakuja kuolewa Dogo
 
Mshana unasema kweli

Ila sijampambanisha na Mond ila kwa sasa Ngoma zake zina heat sanaa kumbi nyingi za Starehee.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huyo nae ni Team ile ile haangalii uhalisia,nyuzi zake kumponda harmo pasipo na sababu ya maana tunazo.

Reference ni ile "harmonize ni mbumbumbu wa sheria"
 
Kwa akili yako fupi utataka kumfananisha diamond na vijana wa ovyo kama harmonize
Anafurahisha nafsi yake, muacheni kama inasaidia kumfariji.
Kulinganisha vitu ambavyo havikaribiani hata kidogo ni zaidi ya upofu.
 
Back
Top Bottom