Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Yan mm na shiandwa kuelewa watu wa jamuhuri hii. Sidhan kama vidoes wameangalia kwa kwel. Kuna comment zingine unasoma unakna kabixa huuyu mwezi ni mchanga
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TZ vichaa wengi nakuambia na hivi bando zimepanda bei!acha turopoke!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mondi kamnunulia mpaka ndinga Baba Level ili amdiss Konde ila watu bado wanamsakama dogo [emoji3]
Wanaumia kuona anapata hata view 1m kwa siku kadhaa bado anatrend kimpango wake!wao walitaka apotee kabisaa yaani awe hana mbele wala nyuma.

Mungu anampigania kwa kiwango chake alichokipanga ndo nyoyo zinawasokotaa...!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Exactly haikua fadhila ila ni biashara nshakulipa sepaa....!!tusijuane juane tena!wanaumia kuona anadevelop japo kidogokidogo!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Hakulia lia wapi?!!si alikua anatumia chawa wake kina tale tale waongee!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Hivi mkuu kwenu Mara au Ukerewe?

Unaonekana kama mtu fulani limbukeni, msukule na mpumbavu kama walivyo mashabiki wa Domo.

Nakumbuka miaka michache iliyoputa ulivyokuwa na THREAD yako maalum humu ya mashabiki wa Alikiba.

Au umezeeka ubongo.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji126][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]!!!daahh

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Nimemsikiliza tena Harmo sasa hivi tena kwa utulivu maana jana nilikuwa kwenye makelele!

Asee nimefuta mpaka comment yangu[emoji849][emoji849]

Domo hafai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wit ujue akili huna wewee!!umenchekesha sana ujue[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]!!!kaahh

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
kwenye interview sijaona akijilinganisha na mondi zaidi kasema yeye kwa mondi bado mdogo.

alikuwa anaeleza jinsi alivyofanyiwa fitna hadi akaamua kuondoka wcb
Mond bado ni mdogo katika nyanja ipi ukimlinganisha na Harmonize?
 
kubali tu hujatazama hii interview au unakwepa kukubali ukweli dogo kafunguka ya ndani madale wapo uchi.
Madale wapo uchi, harmo kapaa sana baada ya kufunguka etiee?😂

Linapokuja swala la ushabiki, masikini huwa mnatokwa na akili kabisa.
 
Kwahiyo keshamshinda kimuziki?au anaongea aonekane anaongea badala ya kufanya mziki yeye anafanya majungu,sawa umelipa 600m si ulikua unamkataba nao..tuambie hao wasanii wako ambao hawaeleweki wanafanya nini mkataba wao wewe unachukua kiasi gani
 
Akili kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…