Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Suala la kuwekeza pesa ni akili ya mtu.

Pia kumbuka hata hizo nyumba zimetokana na jasho la wasafi.

Wasafi ni haki yao kumpigania jamaa kwa sababu alikua chini ya label yao, so hakuna cha ajabu, ila mikataba yao ni ya kijinga, wanaexploit sana wasanii, huwezi sign mkataba wa rights za mtu miaka 15 hata kama we ndo unamkuza toka chini. Huo ujinga unafanyika wcb tu, sawa ni biashara ila tamaa zimezidi. Ni vizuri jamaa kakua sasa kaona upuuzi huo anaondoka. Kujikisanya kote hadi unauza nyumba kupata 500mil ina maana jamaa kafulia, labda ka anadanganya
 
Msapoti amethubutu kujaribu sasa ulikuwa unataka miaka yote amtumikie mtu tu
Atafute flavour yake na style,ametumika miaka yote akaimbe minyimbo ya Diamond km kuna ofa Ya Pesa ndogo hasa mikoani.
 
Mjinga ni harmo diamond apart kusaidia ni mfanyabiashara na anawafanyakazi wengi kawaajili na pia kampuni yake ya WCB inalipa kodi kubwa tu kwa serikali Kama ataendesha WCB kimsaada msaada sizani ingefika hapo ilipo diamond mwenyewe alivovunja mkataba na manager wake papa misifa alitakiwa alipe 100 m Wala hatukusikia akilalamika kwenye media yoyote zaidi ya papa misifa kusema kwenye radio na kipindi hicho diamond hakuwa ni maarufu Sana Kama wakati Huu.Mwaka Huu pia nimesikia kiss Daniel anadaiwa 1 billion Kama fidia ya kulipa mkataba before ya muda wake kuisha so alitakiwa ailipe label iliyokuwa akisimamiwa baada yakuvunja mkataba.hiyo hela ya harmo ni ndogo Sana ukilinganisha na investment walioweka kwake na muda pia so Hilo ni Jambo la kawaida Kama umesoma LAW OF CONTRACT.
 
Maisha ni kama kusafiri barabarani. Kila mmoja na safari yake, na mwendo wake na mwisho wake. Haipaswi kukasirika inapotokea dereva mwingine amekupita kwa kasi, na wala haupaswi kushindana kwa mwendo ambao si wa kwako. “Kila mmoja kwa karama yake, kadri yake na kudra yake”
 
Weee alilipa milion 18 acha umbeya wewe mumee wa shamira mshangama
 
Alimlipa milion 100,Refer interview yake aliyofanya na Soudy,aliongea mwenyewe Papa Misifa.
Mimi ndo papaaa misifa alinilipa milion 18 zile zilikuwa mbwembwe ili kuendelea kumpa jina
 
Dogo anaharibu sana kuwatukana Wasafi.

Nimesikia anasema alikuwa hayupo huru ndani ya Wasafi eti anafurahi kupata interview clouds alimis kuwa na amani.
Hili ndo tusi au mkuu hujamalizia kuandikA?
 

Hata mm baada ya kuangalia interview yake ninaelekea kuangalia wimbo wa mmakonde mwenzangu
 
We mxaga nini? Mbona waxaga wanaongiza kwa ushoga kino na sinza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…