Harmonize nje ya WCB hamuwezi Marioo hata kidogo

Ukweli ni kwamba Harmonize nje ya WCB hamuwezi Marioo AKA #Totobad hata kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]

kwani wanashindana?

mbona haukusema akiwa WCB?

unajua chuki ni uchawi?
 
Jamani kumbukeni harmonize ndiye msanii aliyetoa nyimbo inayoongoza kwa views you tube toka Tanzania imeumbwa, kwangwaru ndio the most viewed tz song of all time. Mpeni heshima yake
Mjinga mmoja wewe unaijua nana ya diamond
1.nana 53 views
2.kwangwaru 50 views
 
Naona kutufunga mlijiona kama mshachukua epl
mzee mi na man u yangu bora nisichukue ubingwa ila Chelsea na Liverpool niwafunge[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji1787][emoji1787]
 
Harmonize kahama wcb.
Je atabadilika uimbaji wake ?au ataendelea kumuiga boss wake
wapi amemuiga?

sijawahi ona ofanano wa harmonize na Diamond .

harmonize hawezi kuimba ujinga kama wa nyegezi wala tetema
 
wapi amemuiga?

sijawahi ona ofanano wa harmonize na Diamond .

harmonize hawezi kuimba ujinga kama wa nyegezi wala tetema
ohoo ujaziskiza ngoma zake zoote
 
Fundi wa mpira sana mtoto yule...dogo namfaninisha na fundi marco reus uchezaji wake
yupo vzr ila kdg so saana msimu hamaliz kama morata [emoji1787][emoji16][emoji16]
 
"Hawaamini kuunda Diamond au Kiba wawili, wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja abaki kuwa dili"
Sumu ya Fid Q
Kama tulivyokuwa tunamsingizia Ruge kuminya wasanii, nahisi hata CCM kwa mengine tunaisingizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…