Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Ukweli ni kwamba Harmonize nje ya WCB hamuwezi Marioo AKA #Totobad hata kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
kwani wanashindana?
mbona haukusema akiwa WCB?
unajua chuki ni uchawi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kwamba Harmonize nje ya WCB hamuwezi Marioo AKA #Totobad hata kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
Mjinga mmoja wewe unaijua nana ya diamondJamani kumbukeni harmonize ndiye msanii aliyetoa nyimbo inayoongoza kwa views you tube toka Tanzania imeumbwa, kwangwaru ndio the most viewed tz song of all time. Mpeni heshima yake
kama pulisic tu anarukaruka uwanjaniHarmonize hamfikii hata jay melody
Jamaa ni mtu wa ovyo sana, anafanya colabo za ovyo kila kukicha
wapi amemuiga?Harmonize kahama wcb.
Je atabadilika uimbaji wake ?au ataendelea kumuiga boss wake
Fundi wa mpira sana mtoto yule...dogo namfaninisha na fundi marco reus uchezaji wakekama pulisic tu anarukaruka uwanjani
wapi amemuiga?
sijawahi ona ofanano wa harmonize na Diamond .
harmonize hawezi kuimba ujinga kama wa nyegezi wala tetema
Matter of time tuMjinga mmoja wewe unaijua nana ya diamond
1.nana 53 views
2.kwangwaru 50 views
Ambapo harmonize atakuwa underground eboooooohMatter of time tu
Hasaaaa umenena mkuuMarioo ni mwimbaji mzur na saut nzur, ila Kwa utunzi Hamornize ni mashine....
Kwa maskio yako broMarioo si ndio yule jamaa anayeimba style moja kila wimbo?!
Marioo anaimba kama ameshiba magimbi.