Harmonize nje ya WCB hamuwezi Marioo hata kidogo

Insane....Tangu nilipotizama ile show ya burna boy...iliyofanyika next door arena masaki..kisha kwenye stage akapanda harmonise Aisee mpaka leo hii nina kubali kwamba yule jamaa ni next level
Maana alipoanza kuimba tu ile ngoma yake ya UNO
ukumbi mzima uliripuka licja ya kwamba na mkubali sana burna boy...lakini naomba niwe mkweli zile dakika 10 tu alizopanda konde boy kwenye stage alimfunika burna boy..........ifike mahali tukubali kwamba Jamaa anajua aisee...chuki zisizo sababu hazina faida yeyote..........

Hata ile show ya fiesta....konde alitisha kuliko msanii yeyote aliyepanda kwenye stage..licha ya,kwamba mimi sio fan wake...lakini siwezi kuupinga ukweli kwamba Jamaa anajua tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Harmonize nje ya WCB hamuwezi Marioo AKA #Totobad hata kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]

Acha kuwa stagnant mjinga wewe harmonize kuwa juu inakuuma nini!
Huu music unahitaji vichwa vingi viwe top....acha akili za kimasikini....
 
Acha kuwa stagnant mjinga wewe harmonize kuwa juu inakuuma nini!
Huu music unahitaji vichwa vingi viwe top....acha akili za kimasikini....
Kusaga anasema saizi huyu harmonize anatoka huku anaenda kulipwa laki[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima aonekane anajua si katoka Kwa fundi , alaf mond akawaambia clouds kuwa amewapa busta washindwe wenyewe busta ndo harmonize
 
Lazima aonekane anajua si katoka Kwa fundi , alaf mond akawaambia clouds kuwa amewapa busta washindwe wenyewe busta ndo harmonize
He was born talented....diamond alimkuta konde boy akiwa tayari anajua.....Diamond na Harmonise walikutana muembe yanga temeke...diamond alikwenda kufanya show... hamornise alikuwa ni mmoja katika list ya wasanii wachanga ambao walitangulia kupanda kwenye stage na kufanya show .....katika wasanii wote wachanga waliopanda on stage diamond alivutiwa na Harmonise pekee ni kwa sababu aliona kipaji ndani ya harmonise thats why akaamua kumchukua na kum-support..asingeweza kuinvest kwa mtu ambaye hawezi ku-return pesa zake...........kama harmo asingekuwa anajua basi diamond angemchukua msanii mwingine different na Harmonise kwa sababu katika hiyo siku ya show walipanda wasanii wachanga wengi na kufanya show.........

At that time harmonise tayari alikuwa ameshafanya ngoma zake na kutoa video Juu....ila hakuwa na management ya kueleweka so hizo ngoma licha ya kuwa zilikuwa ni nzuri lakini hazikuweza kupenya kwenye mainstream...........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu somtyme Marioo anakuwa overrated Sana, simply bado hata soko halimuelewi,
Hapana Marioo ni kitu hatari sana kaka though huwezi kumuweka kwenye mizani na harmonize...me pia ni kati ya wasanii nnaowaelewa sana kwa sasa taje ur tym and listen to his songs ni muimbaji haswaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…