Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,054
- 2,902
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kwamba Harmonize nje ya WCB hamuwezi Marioo AKA #Totobad hata kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kusaga anasema saizi huyu harmonize anatoka huku anaenda kulipwa laki[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Acha kuwa stagnant mjinga wewe harmonize kuwa juu inakuuma nini!
Huu music unahitaji vichwa vingi viwe top....acha akili za kimasikini....
Lazima aonekane anajua si katoka Kwa fundi , alaf mond akawaambia clouds kuwa amewapa busta washindwe wenyewe busta ndo harmonizeInsane....Tangu nilipotizama ile show ya burna boy...iliyofanyika next door arena masaki..kisha kwenye stage akapanda harmonise Aisee mpaka leo hii nina kubali kwamba yule jamaa ni next level
Maana alipoanza kuimba tu ile ngoma yake ya UNO
ukumbi mzima uliripuka licja ya kwamba na mkubali sana burna boy...lakini naomba niwe mkweli zile dakika 10 tu alizopanda konde boy kwenye stage alimfunika burna boy..........ifike mahali tukubali kwamba Jamaa anajua aisee...chuki zisizo sababu hazina faida yeyote..........
Hata ile show ya fiesta....konde alitisha kuliko msanii yeyote aliyepanda kwenye stage..licha ya,kwamba mimi sio fan wake...lakini siwezi kuupinga ukweli kwamba Jamaa anajua tena sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatunga yeye?Marioo ni mwimbaji mzur na saut nzur, ila Kwa utunzi Hamornize ni mashine....
Unasemaa??anyway! ntaheshimu mtazamo wakoMarioo ni mwimbaji mzur na saut nzur, ila Kwa utunzi Hamornize ni mashine....
Unasemaa??anyway! ntaheshimu mtazamo wakoMarioo ni mwimbaji mzur na saut nzur, ila Kwa utunzi Hamornize ni mashine....
Ko Kwa akli yako kabisa unataka kusema Marioo anamzidi harmonize? Labda melody tuUnasemaa??anyway! ntaheshimu mtazamo wako
He was born talented....diamond alimkuta konde boy akiwa tayari anajua.....Diamond na Harmonise walikutana muembe yanga temeke...diamond alikwenda kufanya show... hamornise alikuwa ni mmoja katika list ya wasanii wachanga ambao walitangulia kupanda kwenye stage na kufanya show .....katika wasanii wote wachanga waliopanda on stage diamond alivutiwa na Harmonise pekee ni kwa sababu aliona kipaji ndani ya harmonise thats why akaamua kumchukua na kum-support..asingeweza kuinvest kwa mtu ambaye hawezi ku-return pesa zake...........kama harmo asingekuwa anajua basi diamond angemchukua msanii mwingine different na Harmonise kwa sababu katika hiyo siku ya show walipanda wasanii wachanga wengi na kufanya show.........Lazima aonekane anajua si katoka Kwa fundi , alaf mond akawaambia clouds kuwa amewapa busta washindwe wenyewe busta ndo harmonize
Bwana ni baadhi ya watu hahahaaa wengine tupo na akili zetu timamu na taslimu.Ni Tanzania pekee ambapo watu hawataki kuona kukiwa na wingi wa wasanii wakubwa. Kwao mtu pekee anayetakiwa kuwa msanii mkubwa ni Diamond peke yake.
Mngeyasema haya kabla hajahama timu yenu yangekuwa na mashiko vinginevyo endeleeni kujambajamba kwenye matope.Kolabo za maana alizofanya harmonize ni zile alizomshirikisha Mond, zingine ni upupu mtupu, Bora hata na zile anazopiga mwenyewe...
Hao panya wana moyo...kala jezi ya yanga?..unawasingizia hawawezi kula jezi la timu mbovu hivyoaah nakuelewa vizuri kaka mkubwa
kwa chealsea tu ndo hatufanani
alafu niazime basi jezi ya chama letu la yanga.
ya kwangu imeliwa na panya..
Leo wanamfananisha na marioo tenabunaambiwa marioo ni zaidi yake wakati alipokuwa kule walisema HARMONISE ni zaidi ya ALI KIBA...hahahahaaaaa unafki mbaya sanaSafari hii Hamo atafananishwa na kila kitu ilimradi tu aonekani hafai kisa kutoka wcb.
Hapana Marioo ni kitu hatari sana kaka though huwezi kumuweka kwenye mizani na harmonize...me pia ni kati ya wasanii nnaowaelewa sana kwa sasa taje ur tym and listen to his songs ni muimbaji haswaaa...Mkuu somtyme Marioo anakuwa overrated Sana, simply bado hata soko halimuelewi,
Great sana mkuuBwana ni baadhi ya watu hahahaaa wengine tupo na akili zetu timamu na taslimu.
Sent using Jamii Forums mobile app