Insane....Tangu nilipotizama ile show ya burna boy...iliyofanyika next door arena masaki..kisha kwenye stage akapanda harmonise Aisee mpaka leo hii nina kubali kwamba yule jamaa ni next level
Maana alipoanza kuimba tu ile ngoma yake ya UNO
ukumbi mzima uliripuka licja ya kwamba na mkubali sana burna boy...lakini naomba niwe mkweli zile dakika 10 tu alizopanda konde boy kwenye stage alimfunika burna boy..........ifike mahali tukubali kwamba Jamaa anajua aisee...chuki zisizo sababu hazina faida yeyote..........
Hata ile show ya fiesta....konde alitisha kuliko msanii yeyote aliyepanda kwenye stage..licha ya,kwamba mimi sio fan wake...lakini siwezi kuupinga ukweli kwamba Jamaa anajua tena sana
Sent using
Jamii Forums mobile app