Harmonize nje ya WCB hamuwezi Marioo hata kidogo

He was born talented....diamond alimkuta konde boy akiwa tayari anajua.....Diamond na Harmonise walikutana muembe yanga temeke...diamond alikwenda kufanya show... hamornise alikuwa ni mmoja katika list ya wasanii wachanga ambao walitangulia kupanda kwenye stage na kufanya show .....katika wasanii wote wachanga waliopanda on stage diamond alivutiwa na Harmonise pekee ni kwa sababu aliona kipaji ndani ya harmonise thats why akaamua kumchukua na kum-support..asingeweza kuinvest kwa mtu ambaye hawezi ku-return pesa zake...........kama harmo asingekuwa anajua basi diamond angemchukua msanii mwingine different na Harmonise kwa sababu katika hiyo siku ya show walipanda wasanii wachanga wengi na kufanya show.........

At that time harmonise tayari alikuwa ameshafanya ngoma zake na kutoa video Juu....ila hakuwa na management ya kueleweka so hizo ngoma licha ya kuwa zilikuwa ni nzuri lakini hazikuweza kupenya kwenye mainstream...........

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia you tube mahojiano ya harmonize na millard ayo,acha kupayuka hovyo kwa jambo usolijua
 
Insane....Tangu nilipotizama ile show ya burna boy...iliyofanyika next door arena masaki..kisha kwenye stage akapanda harmonise Aisee mpaka leo hii nina kubali kwamba yule jamaa ni next level
Maana alipoanza kuimba tu ile ngoma yake ya UNO
ukumbi mzima uliripuka licja ya kwamba na mkubali sana burna boy...lakini naomba niwe mkweli zile dakika 10 tu alizopanda konde boy kwenye stage alimfunika burna boy..........ifike mahali tukubali kwamba Jamaa anajua aisee...chuki zisizo sababu hazina faida yeyote..........

Hata ile show ya fiesta....konde alitisha kuliko msanii yeyote aliyepanda kwenye stage..licha ya,kwamba mimi sio fan wake...lakini siwezi kuupinga ukweli kwamba Jamaa anajua tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama harmo alitisha shoro mwamba aliekimbiza mashabiki kulia n kushoto utasemaje?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
He was born talented....diamond alimkuta konde boy akiwa tayari anajua.....Diamond na Harmonise walikutana muembe yanga temeke...diamond alikwenda kufanya show... hamornise alikuwa ni mmoja katika list ya wasanii wachanga ambao walitangulia kupanda kwenye stage na kufanya show .....katika wasanii wote wachanga waliopanda on stage diamond alivutiwa na Harmonise pekee ni kwa sababu aliona kipaji ndani ya harmonise thats why akaamua kumchukua na kum-support..asingeweza kuinvest kwa mtu ambaye hawezi ku-return pesa zake...........kama harmo asingekuwa anajua basi diamond angemchukua msanii mwingine different na Harmonise kwa sababu katika hiyo siku ya show walipanda wasanii wachanga wengi na kufanya show.........

At that time harmonise tayari alikuwa ameshafanya ngoma zake na kutoa video Juu....ila hakuwa na management ya kueleweka so hizo ngoma licha ya kuwa zilikuwa ni nzuri lakini hazikuweza kupenya kwenye mainstream...........

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hapa tunaongelea Fact with evidence tunaposema mond alianza kuchana tunanyimbo zake za zamani kama Kisachi nk na unaposema harmo alianza imba kitambo akakutana na Mond Temeke tunaomba Fact na evidence za nyimbo ata moja tu ya kipindi yupo msanii mchanga ukiwa mnafiki au Muongo jua utasahau na unacho kiongea ni Chai na Chapati nenda Youtube fatilia interview ya harmo na millard ayo ndo utaelewa naongea nini uyu kijana nimemuona long time bado ata ajaanza rekodi nyimbo anaishi kwa Mond anafutafuta Tuzo za mond mara ana date na Huda yaani kama mond alikua anamtengenezea jamaa jina baadae ametoa nyimbo yake iyola na nyimbo nyingi Mond amefanya nae kumbost ili ajulikane na ndo msanii alietumia nguvu nyingi kumbost narudia kama hauna Fact na evidence nyamaza hapa sio ( kwenye thread yako ya kula Tunda kimasihara)

Kwenye thread yako ya kula tunda kimasikhara[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He was born talented....diamond alimkuta konde boy akiwa tayari anajua.....Diamond na Harmonise walikutana muembe yanga temeke...diamond alikwenda kufanya show... hamornise alikuwa ni mmoja katika list ya wasanii wachanga ambao walitangulia kupanda kwenye stage na kufanya show .....katika wasanii wote wachanga waliopanda on stage diamond alivutiwa na Harmonise pekee ni kwa sababu aliona kipaji ndani ya harmonise thats why akaamua kumchukua na kum-support..asingeweza kuinvest kwa mtu ambaye hawezi ku-return pesa zake...........kama harmo asingekuwa anajua basi diamond angemchukua msanii mwingine different na Harmonise kwa sababu katika hiyo siku ya show walipanda wasanii wachanga wengi na kufanya show.........

At that time harmonise tayari alikuwa ameshafanya ngoma zake na kutoa video Juu....ila hakuwa na management ya kueleweka so hizo ngoma licha ya kuwa zilikuwa ni nzuri lakini hazikuweza kupenya kwenye mainstream...........

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ile ngoma ilikuwa kali sana ila ilikosa promo.mimi sio shabiki wa harmonize ila hii ngoma ya inabana ikapigwa club aise inamsha asmha balaa
 
Mkuu hapa tunaongelea Fact with evidence tunaposema mond alianza kuchana tunanyimbo zake za zamani kama Kisachi nk na unaposema harmo alianza imba kitambo akakutana na Mond Temeke tunaomba Fact na evidence za nyimbo ata moja tu ya kipindi yupo msanii mchanga ukiwa mnafiki au Muongo jua utasahau na unacho kiongea ni Chai na Chapati nenda Youtube fatilia interview ya harmo na millard ayo ndo utaelewa naongea nini uyu kijana nimemuona long time bado ata ajaanza rekodi nyimbo anaishi kwa Mond anafutafuta Tuzo za mond mara ana date na Huda yaani kama mond alikua anamtengenezea jamaa jina baadae ametoa nyimbo yake iyola na nyimbo nyingi Mond amefanya nae kumbost ili ajulikane na ndo msanii alietumia nguvu nyingi kumbost narudia kama hauna Fact na evidence nyamaza hapa sio ( kwenye thread yako ya kula Tunda kimasihara)

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hiyo ngoma ipo na ni nzuri sana na mimi nilikuwa naisikiliza sana ila nilijua ya harmonixe baada ya kuwa sign wasafi na Diamondi Platnumz ndo alii,ungumxia hiyo ngoma na ni bonge la ngoma. Najaribu kuikumbuka nitaileta hapa
 
Inabidi uelewe mziki mkuu ulivyo, kuna aina ya mziki wa ndani na kuna aina ya mziki wa nje, yaani msanii anaimba kwa ku-target kuwateka watanzania au anaimba mziki furani ku-target uoenye nje hatakama watanzania hawajaupenda...hili analiongeleaga sana Diamond, Diamond anaimba aina hii ya miziki ndio maana hatokuja shuka na Harmonize naye pia anafata nyao hizihizi ndio maana anatoboa pia Rayvanny umeona Lavalava aina yake ya mziki ni wandani tu ila Team inamtengeneza awe na miziki ya kutoka nje ndio kidogo anaimba kama Gogaga, Saura nk...nadahni umepata content.

Sasa tukija kwa msanii kama Marioo yeye kwanza ndio anatoka inabidi ateke mioyo ya watanzania kwa mziki wa ndani tu ambao ukiisikiliza unasema kweli huu mziki sasa mziki huu kibao tu wanao na wamepotea wakina Baraka Daprice, Bright, Aslay nk...haukufanyi wewe ukue ki-nje unakuwa unaimba vizuri ila unadumaa hapohapo, Diamond angekuwa anaimba aina hii tu ya mziki nakwambia kweli tusingemsikiza mwanamziki mwengine kamwe maana kwenye miziki hii Diamond ndio mwisho ila kutokana yeye mfanya Biashara hawezi kuacha kuimba kanyaga, marry you, eneka ili apenye nje..ndioa sawa na Harmonize.

Hitimisho
Kumfananisha Marioo na Harmo ni kumkosea Heshima Harmo, Harmo ni mtu ambaye kashatomoka kwenye soko la ndani anaoambana na nje sasahivi ao marioo bado anakazi kubwa ya kukuburudisha moyo wako wewe mtanzania ndio aende nje na yeye...mafano Harmo angeamua aimbe za ndani tu nakwambia uyo Marioo usingemsikiliza.
Unamaanisha colabo za wanaija maana hakuna wimbo wa Domo unaopigwa Naija bila ya colabo ya wanaija
 
He was born talented....diamond alimkuta konde boy akiwa tayari anajua.....Diamond na Harmonise walikutana muembe yanga temeke...diamond alikwenda kufanya show... hamornise alikuwa ni mmoja katika list ya wasanii wachanga ambao walitangulia kupanda kwenye stage na kufanya show .....katika wasanii wote wachanga waliopanda on stage diamond alivutiwa na Harmonise pekee ni kwa sababu aliona kipaji ndani ya harmonise thats why akaamua kumchukua na kum-support..asingeweza kuinvest kwa mtu ambaye hawezi ku-return pesa zake...........kama harmo asingekuwa anajua basi diamond angemchukua msanii mwingine different na Harmonise kwa sababu katika hiyo siku ya show walipanda wasanii wachanga wengi na kufanya show.........

At that time harmonise tayari alikuwa ameshafanya ngoma zake na kutoa video Juu....ila hakuwa na management ya kueleweka so hizo ngoma licha ya kuwa zilikuwa ni nzuri lakini hazikuweza kupenya kwenye mainstream...........

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha uongo hujui historia yake.Fuatilia tena hata google hapo jf usome upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa hajui historia ya mmakonde.
Mkuu hapa tunaongelea Fact with evidence tunaposema mond alianza kuchana tunanyimbo zake za zamani kama Kisachi nk na unaposema harmo alianza imba kitambo akakutana na Mond Temeke tunaomba Fact na evidence za nyimbo ata moja tu ya kipindi yupo msanii mchanga ukiwa mnafiki au Muongo jua utasahau na unacho kiongea ni Chai na Chapati nenda Youtube fatilia interview ya harmo na millard ayo ndo utaelewa naongea nini uyu kijana nimemuona long time bado ata ajaanza rekodi nyimbo anaishi kwa Mond anafutafuta Tuzo za mond mara ana date na Huda yaani kama mond alikua anamtengenezea jamaa jina baadae ametoa nyimbo yake iyola na nyimbo nyingi Mond amefanya nae kumbost ili ajulikane na ndo msanii alietumia nguvu nyingi kumbost narudia kama hauna Fact na evidence nyamaza hapa sio ( kwenye thread yako ya kula Tunda kimasihara)

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa uzi una uelewa mdogo na mawazo finyu hauna mawazo mtambuka !!!!!!!![emoji41][emoji41]au unataka tu tucomments kwenye uzi wako .
Marioo ni mtoto mchanga yeye mwenyewe atamkubali harmonize kabla ya yeye!!!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi
Insane....Tangu nilipotizama ile show ya burna boy...iliyofanyika next door arena masaki..kisha kwenye stage akapanda harmonise Aisee mpaka leo hii nina kubali kwamba yule jamaa ni next level
Maana alipoanza kuimba tu ile ngoma yake ya UNO
ukumbi mzima uliripuka licja ya kwamba na mkubali sana burna boy...lakini naomba niwe mkweli zile dakika 10 tu alizopanda konde boy kwenye stage alimfunika burna boy..........ifike mahali tukubali kwamba Jamaa anajua aisee...chuki zisizo sababu hazina faida yeyote..........

Hata ile show ya fiesta....konde alitisha kuliko msanii yeyote aliyepanda kwenye stage..licha ya,kwamba mimi sio fan wake...lakini siwezi kuupinga ukweli kwamba Jamaa anajua tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume anaongea ukweli sio majungu .. mkuu huo niukweli mtupu tumchukie ila jamaa ndomda wake
Insane....Tangu nilipotizama ile show ya burna boy...iliyofanyika next door arena masaki..kisha kwenye stage akapanda harmonise Aisee mpaka leo hii nina kubali kwamba yule jamaa ni next level
Maana alipoanza kuimba tu ile ngoma yake ya UNO
ukumbi mzima uliripuka licja ya kwamba na mkubali sana burna boy...lakini naomba niwe mkweli zile dakika 10 tu alizopanda konde boy kwenye stage alimfunika burna boy..........ifike mahali tukubali kwamba Jamaa anajua aisee...chuki zisizo sababu hazina faida yeyote..........

Hata ile show ya fiesta....konde alitisha kuliko msanii yeyote aliyepanda kwenye stage..licha ya,kwamba mimi sio fan wake...lakini siwezi kuupinga ukweli kwamba Jamaa anajua tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusaga mjanja sana jamaa nimpiga hela mzuri sana kipindi ruge yupo hali kila kitu alikuwa anapiga yeye unyonyaji na ubaya wote alafu johoo la ubaya anamvisha ruge RIP ruge unapakwamatope kwakosa lamtu mwingine. Leo hii anasema wasafi hana share amemsaidia jamaa anajua kucheza na akili za watu ivi wamiliki siwaliwekwa waza .. diamond 45% kusanga na mke wake 53% .. eti amemsaidia cloud sio yakusanga ni ya family ya kusanga so yeye Joseph anajisafisha tu kwawatu eti hata yeye hajui kwanini cloud hawapigi nyimbo za wasafi .. msimamizi mkuu wa cloud hajui masihara haya jamaa yupo nyuma ya lawama zote alizo tupiwa ruge . Jamaa yupo nyuma ya diamond kwaasilimia 100 utake usitake kwanzia wasafi mpaka biashara za diamond. Chibu prefume ni yakwake ila jina alimuandika mke wake . Diamond karanga alinunua share kubwa kwenye kampuni ya smart so huyu jamaa kaona soko kubwa ni diamond ndomaana yupo nae hatua kwa hatua
Kusaga anasema saizi huyu harmonize anatoka huku anaenda kulipwa laki[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom