Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Bangi sio mbaya,tatizo lipo kwa anaye itumia.Juzi kwenye mapunduzi cup huko zanzibar harmonize alikua ni mmoja wa watumbuizaji, nilikua namsikiliza ila nikashangaa baada ya kuimba kidogo Jamaa pumzi ikakata na alionekana anaimba kwa shida sana ,na hapo alikua haimbi LIVE. Nikakumbuka ile siku ya yanga day nilidhani kwamba PUMZI ilikata kutokana na kutembea kwenye ile kamba , nikiunganisha matukio na picha zake za kwenye mitandao Jamaa anaonekana yupo na moshi muda wote ,nahisi hiki ndo chanzo hata ukisikiliza nyimbo zake za hivi karibuni utagundua sauti ya harmonize inakwangua sana .
Picha kutoka kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM View attachment 1678167View attachment 1678165View attachment 1678168View attachment 1678164View attachment 1678166View attachment 1678169
Kutangaza sigara gani?In my opinion, Jamaa kala dili la kutangaza Sigara na kama ni hivyo kuposti picha zinazoonesha ameshika sigara, sioni kwa namna yeyote kunaendana na ukweli kwamba mtu anatumia sigara. And people get tired with age whether or not they are smokers!
Juzi kwenye mapunduzi cup huko zanzibar harmonize alikua ni mmoja wa watumbuizaji, nilikua namsikiliza ila nikashangaa baada ya kuimba kidogo Jamaa pumzi ikakata na alionekana anaimba kwa shida sana ,na hapo alikua haimbi LIVE. Nikakumbuka ile siku ya yanga day nilidhani kwamba PUMZI ilikata kutokana na kutembea kwenye ile kamba , nikiunganisha matukio na picha zake za kwenye mitandao Jamaa anaonekana yupo na moshi muda wote ,nahisi hiki ndo chanzo hata ukisikiliza nyimbo zake za hivi karibuni utagundua sauti ya harmonize inakwangua sana .
Picha kutoka kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM View attachment 1678167View attachment 1678165View attachment 1678168View attachment 1678164View attachment 1678166View attachment 1678169
Mkuu ongezea nyama kidogo bas, japo sabato imeingiaYaani hajafikisha hata 30 anakata pumzi mapema? Ndio maana wamasai na mwarabu walimgongea demu wake.
๐๐๐๐Mkuu ongezea nyama kidogo bas, japo sabato imeingia
Mkuu ongezea nyama kidogo bas, japo sabato imeingia
Duh nouma Sana ,Mwarabu Fighter - Aliyekuwa baunsa wa dayamondi alimtafuna Sarah baada ya kujulikana ikabidi dayamondi amfukuze wcb.
Ukienda Zanzibar -Sarah anajulikana zaidi kama Sarah mmasai kwasabu wamasai wa zanzibar alikuwa hana hiyana nao alikuwa anawapa mchezo sana.
Kiongoz harmonize tangu ametoka wcb anazipuliza sana na sasahiv amekutana na wakina countryboy basi ndo chupa na mfunikoSi kweli juzi mapinduzi siyo sauti iligoma ,alipokuwa akiimba alitupa dogo kwenye familia ya mondi watu wakazomea ndo akanyamaza kwanza
Ukiachana na matangazo muhinu anazipuliza sana ,In my opinion, Jamaa kala dili la kutangaza Sigara na kama ni hivyo kuposti picha zinazoonesha ameshika sigara, sioni kwa namna yeyote kunaendana na ukweli kwamba mtu anatumia sigara. And people get tired with age whether or not they are smokers!
Mkuu inaonekana huzijui sigara wewe. Binafsi napata usumbufu wa mawazo nikimuona Konde Boy kwenye tangazo la sigara.In my opinion, Jamaa kala dili la kutangaza Sigara na kama ni hivyo kuposti picha zinazoonesha ameshika sigara, sioni kwa namna yeyote kunaendana na ukweli kwamba mtu anatumia sigara. And people get tired with age whether or not they are smokers!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolMkuu ongezea nyama kidogo bas, japo sabato imeingia