Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Juzi kwenye mapunduzi cup huko Zanzibar Harmonize alikua ni mmoja wa watumbuizaji, nilikua namsikiliza ila nikashangaa baada ya kuimba kidogo Jamaa pumzi ikakata na alionekana anaimba kwa shida sana ,na hapo alikua haimbi LIVE.
Nikakumbuka ile siku ya Yanga day nilidhani kwamba pumzi ilikata kutokana na kutembea kwenye ile kamba, nikiunganisha matukio na picha zake za kwenye mitandao jamaa anaonekana yupo na moshi muda wote, nahisi hiki ndo chanzo hata ukisikiliza nyimbo zake za hivi karibuni utagundua sauti ya Harmonize inakwangua sana .
Picha kutoka kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM