Harmonize punguza matumizi ya sigara na vinywaji vya baridi pumzi imeanza kua shida

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Juzi kwenye mapunduzi cup huko Zanzibar Harmonize alikua ni mmoja wa watumbuizaji, nilikua namsikiliza ila nikashangaa baada ya kuimba kidogo Jamaa pumzi ikakata na alionekana anaimba kwa shida sana ,na hapo alikua haimbi LIVE.

Nikakumbuka ile siku ya Yanga day nilidhani kwamba pumzi ilikata kutokana na kutembea kwenye ile kamba, nikiunganisha matukio na picha zake za kwenye mitandao jamaa anaonekana yupo na moshi muda wote, nahisi hiki ndo chanzo hata ukisikiliza nyimbo zake za hivi karibuni utagundua sauti ya Harmonize inakwangua sana .

Picha kutoka kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM
Screenshot_20210115-172536_Instagram.jpg
 
In my opinion, Jamaa kala dili la kutangaza Sigara na kama ni hivyo kuposti picha zinazoonesha ameshika sigara, sioni kwa namna yeyote kunaendana na ukweli kwamba mtu anatumia sigara. And people get tired with age whether or not they are smokers!
 
Juzi kwenye mapunduzi cup huko zanzibar harmonize alikua ni mmoja wa watumbuizaji, nilikua namsikiliza ila nikashangaa baada ya kuimba kidogo Jamaa pumzi ikakata na alionekana anaimba kwa shida sana ,na hapo alikua haimbi LIVE. Nikakumbuka ile siku ya yanga day nilidhani kwamba PUMZI ilikata kutokana na kutembea kwenye ile kamba , nikiunganisha matukio na picha zake za kwenye mitandao Jamaa anaonekana yupo na moshi muda wote ,nahisi hiki ndo chanzo hata ukisikiliza nyimbo zake za hivi karibuni utagundua sauti ya harmonize inakwangua sana .

Picha kutoka kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM View attachment 1678167View attachment 1678165View attachment 1678168View attachment 1678164View attachment 1678166View attachment 1678169
Bangi sio mbaya,tatizo lipo kwa anaye itumia.
 
In my opinion, Jamaa kala dili la kutangaza Sigara na kama ni hivyo kuposti picha zinazoonesha ameshika sigara, sioni kwa namna yeyote kunaendana na ukweli kwamba mtu anatumia sigara. And people get tired with age whether or not they are smokers!
Kutangaza sigara gani?
Kushika sigara haiwezi kuwa tangazo
Tangazo ni umeshika sigara gani
 
Juzi kwenye mapunduzi cup huko zanzibar harmonize alikua ni mmoja wa watumbuizaji, nilikua namsikiliza ila nikashangaa baada ya kuimba kidogo Jamaa pumzi ikakata na alionekana anaimba kwa shida sana ,na hapo alikua haimbi LIVE. Nikakumbuka ile siku ya yanga day nilidhani kwamba PUMZI ilikata kutokana na kutembea kwenye ile kamba , nikiunganisha matukio na picha zake za kwenye mitandao Jamaa anaonekana yupo na moshi muda wote ,nahisi hiki ndo chanzo hata ukisikiliza nyimbo zake za hivi karibuni utagundua sauti ya harmonize inakwangua sana .

Picha kutoka kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM View attachment 1678167View attachment 1678165View attachment 1678168View attachment 1678164View attachment 1678166View attachment 1678169

Yaani hajafikisha hata 30 anakata pumzi mapema? Ndio maana wamasai na mwarabu walimgongea demu wake.
 
Mkuu ongezea nyama kidogo bas, japo sabato imeingia

Mwarabu Fighter - Aliyekuwa baunsa wa dayamondi alimtafuna Sarah baada ya kujulikana ikabidi dayamondi amfukuze wcb.
Ukienda Zanzibar -Sarah anajulikana zaidi kama Sarah mmasai kwasabu wamasai wa zanzibar alikuwa hana hiyana nao alikuwa anawapa mchezo sana.
 
Duh nouma Sana ,
 
Si kweli juzi mapinduzi siyo sauti iligoma ,alipokuwa akiimba alitupa dogo kwenye familia ya mondi watu wakazomea ndo akanyamaza kwanza
Kiongoz harmonize tangu ametoka wcb anazipuliza sana na sasahiv amekutana na wakina countryboy basi ndo chupa na mfuniko
 
In my opinion, Jamaa kala dili la kutangaza Sigara na kama ni hivyo kuposti picha zinazoonesha ameshika sigara, sioni kwa namna yeyote kunaendana na ukweli kwamba mtu anatumia sigara. And people get tired with age whether or not they are smokers!
Ukiachana na matangazo muhinu anazipuliza sana ,
 
In my opinion, Jamaa kala dili la kutangaza Sigara na kama ni hivyo kuposti picha zinazoonesha ameshika sigara, sioni kwa namna yeyote kunaendana na ukweli kwamba mtu anatumia sigara. And people get tired with age whether or not they are smokers!
Mkuu inaonekana huzijui sigara wewe. Binafsi napata usumbufu wa mawazo nikimuona Konde Boy kwenye tangazo la sigara.
Watu wake wa karibu wamsaidie kuepukana na sigara, zinampa sifa mbaya ukizingatie bado ana potentials za kutosha.
 
😂😂😂unaugoko no manana unakibamia
😂😂😂😂wabongo tunamatatzo
🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom