I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Labda kituo cha polisi maana kwa anavyopenda kiki za kesi sio bureBado yupo kwenye mkakati wa kufungua kituo cha radio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kituo cha polisi maana kwa anavyopenda kiki za kesi sio bureBado yupo kwenye mkakati wa kufungua kituo cha radio
Harmonize pia alipiga Burundi na mayote mwezi wa kumi 2Ongezea na Burkina Faso.Kiba mwezi wa 12 kapiga Burundi.
Ile ni branch ya wasafiTuwape mda gani sasa wakat huo mda pia unaifanya Wasafi kuzidi kuwa kongwe..... konde boy asipokaa vyema label ya Rayvanny itampiga fimbo, ngoja usajiri uanze
Kwa hiyo hapo unakubali au unapinga? Maana hata hauelewi ushikilie kipiWewe diamond kapiga show nje guinea na Ethiopia tu. Ambapo harmonize anaenda kupiga mwezi wa tano.
Wewe acha kufananisha vitu vya kijinga na Diamond, mbingu na duniaHivi ndivyo diamond alipambana wakati clouds ilikuwa imekamata kila Kona. Mkumbuke miaka Ile watangazaji wa clouds walikuwa na nguvu kuliko wasanii but diamond alitoboa. Ndicho kinachomtokea harmonize. He is going to make it
Nitumie post nione ,tokea Corona ianze au tokea azindue album yake hajawahi kupiga show nje ya Tz.Harmonize pia alipiga Burundi na mayote mwezi wa kumi 2
Kama ni tokea Corona ianze aliepiga show nje ni diamond ambaye lable yake Ina miaka kumi. Wakati kondegang Ina mwaka mmoja so tulieni dawa yenu iwaingieNitumie post nione ,tokea Corona ianze au tokea azindue album yake hajawahi kupiga show nje ya Tz.
Ha haa Sawa , ili kumvua nguo harmonize wakamtupia chambo 🤣 na yeye akakimeza ...anyway basi tuyaacheHivi uliwahi kujiuliza damage aliyoifanya rayvanny kupost anamla mate Paula someday anaona mamake anatrend na konde insta. Alitaka kutuma ujumbe upi kwa Kajala. Kwamba unaliwa na harmo mm nakula mwanao. You are one sided.....but ukweli usiopingika ni kuwa vannyboy alionyesha dharau kwa Kajala na harmonize Ile siku
Wasafi ina miaka mitano hiyo kumi ya kwako,msanii wa kwanza kutambulishwa ni Huyo Harmo 2015 mwezi wa 8.Kama ni tokea Corona ianze aliepiga show nje ni diamond ambaye lable yake Ina miaka kumi. Wakati kondegang Ina mwaka mmoja so tulieni dawa yenu iwaingie
Huo siyo ukweli. Kondegang haijawah kusema Hilo. Isipokuwa inafanya jitihada ya kuwa label kubwa bara la africa lakini wasafi inapambana kuwabana wasifanikiweMbona nasikia konde gang ni kubwa kuliko wasafi, ina wasanii wengi zaidi mpaka international ?
Inawabana kivip? Hiyo ni inferiority complex kushindwa kwenu msiwasingizie wengineHuo siyo ukweli. Kondegang haijawah kusema Hilo. Isipokuwa inafanya jitihada ya kuwa label kubwa bara la africa lakini wasafi inapambana kuwabana wasifanikiwe
Wasafi haina miaka kumi, Diamond ndie anamiaka kumi.aliepiga show nje ni diamond tu. acheni uhuni. Mkumbuke toka aanze project ikaanza Corona labda unaongelea show zipi coz hata wanigeria show zimepungua kisa Corona. Nyie wahuni mnatambua yupo anaijenga lable yake ... Mmekazana show wakati ndo Kwanza kaanza kuijenga lable. Matunda yanayooneka mpaka Sasa ni ubalozi wa crdb, sayona na sigara. Ambapo kapiga pesa ya maana. Mnataka ndani ya mwaka mmoja kondegang iwe imekamilisha kila kitu wakati wasafi ina miaka kumi.
Sio mpango hata huo uwezo hanaHii inaaonyesha dhahiri kuwa mnamchukia harmonize bila sababu za msingi. Maumivu ya kuhisi atampita diamond wakati huo mpango Hana.