Harmonize: Safari yake kwenda International nje ya WCB inavyowatesa Wasafi

Mnapambana Sana kumpoteza harmonize but nawahakikishia haitowezekana sababu njia zote za kufanikiwa kimuziki harmonize anazijua. Kibaya zaidi watanzania nao wanashangilia wakati tunatakiwa kuwa na international artist wengi
Hata tekashi69 ni international artist, kila la kheri kwa mmakonde, anachofeli ni kuwaaminisha mashabiki zake kuwa kunawatu wanapambana wamshushe nanyi mnamuamin, ikiwa media zoote zpo nae isipokuwa Wasafi tu (ikiwa kipindi tofauti na alichopitia Boss wake wa zaman ktk kutafuta upenyo kufika hapo alipo)
Je n vp hao watu wanapambana kumshusha ikiwa mashabiki zake mtaamua kumsaport...?
 
Labda tuelekeze, wasafi inafanya nn ili kuwabana kondegang wasifanikiwe...?
Wakati Kajala anatrend na konde nini mantiki ya rayvanny kupost anamla mate Paula??? Je wakati harmonize katangaza kutoa wimbo wa Kama nn maana ya vannyboy kuja na insue ya chatting za harmonize na Paula. Lazima uelewe kuwa harmonize anawajua wasafi kuliko Mimi na WEWE
 
Kwa hiyo kumla mate paula ndio ikawa kosa kwako wewe hamo,mpaka ukapambana van afungwe miaka kibao. Au kosa ni yeye kajala kuliwa na wewe hamo na van kula mtoto?. Je na hayo uliyoyafanya kumtaka mtoto ilihali umekula mama si dharau hiyo kwa familia ya huyo mama?
 
Swala la mahusiano ya paula na rayvany yanaathari gan katika mziki wa harmonize,na unachotaka kuniambia harmonize alitumia mahusiano hayo kama kiki ndo maana mnaina kama rayvanny aliaribu kiki yenu,
Pia kumbuka trend ya chating za harmonize zilianza kabla yy kutangaza kuachia wimbo, kipindi chote trend ilikuwa ni kuvunjika kwa mahusiano ya harmonize na kajala na ndicho kilichopelekea hadi hzo charting kuvuja.
 
Kumbe mzee baba mnaishi kwa kiki
 
Acha kulialiaa kama mwanamke wewe, H baba alikuwa anasema sana mbovu kuhusu Diamond, na inafahamika H baba ni team Konde adi IPhone kanunuliwa, sasa watu wakijibu mashambulizi kuna ubaya gani? Tulieni hii ni piga nikupige , hakuna kushushwa wala kupandishwa, alikesha kituoni ili mwenzake afungwe, Kumbe na yeye anamtaka mwanae ahahahahha, tamaa imemponza wacha aisome namba
 
Kumbe mzee baba mnaishi kwa kiki
Ndio nashangaa ata wale team konde kama Mwijaku kila siku anasema hapendi kiki, lakini kiki anazofanya harmonize anazipenda sanaaaaaaa, hii ni ile kunya anye kuku lakini akinya Bata anaharisha
 
Vannboy anampelekea Moto vibaya Sana mmakonde πŸ˜‚ , konde alifikr yeye ni level moja na Diamond , kumbe Vannboy Tu anamtoa jasho , na mda si mrefu konde boy atakuwa out of action πŸ€ͺ issue ya Paula na Vannyboy iliburst kuliko hata penzi lake na Kajala ndo kilichomuuma jamaa,...
 
Mnapambana Sana kumpoteza harmonize but nawahakikishia haitowezekana sababu njia zote za kufanikiwa kimuziki harmonize anazijua. Kibaya zaidi watanzania nao wanashangilia wakati tunatakiwa kuwa na international artist wengi
hana kipaji ndio maana
 
Bora yeye hapaki make up na kuvaa vikukuu...na kubeba pochi ..na kuzungukwa na mashoga😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…