Amembwinu mbuni ya kufutia watasamaji na wazikilizaji wake. (Nimechekaa...)Mumakonde mubinifu saba
Harmo alikuwa anapendwa Sana alivyokuwa WCB baada ya kutoka mashabiki wengi wamemuama ndomaana unaona hivyo na ndio mashabiki tulionao bongo.jinsi mnavyomsifia kwenye hii thread ni ngumu kuamini kuwa ndo nyie mnamponda Leo