Harmonize tupe atarudi sehemu ya pili

Harmonize tupe atarudi sehemu ya pili

Ashelimo

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
45
Reaction score
29
Nimekuwa na tazama video ya harmonize ya wimbo wake wa atarudi lakini hiki kipande cha mwishoni nilikuwa sijakiona. Mwishoni anaoneka harmonize na mvi kibao akiwa na mjengo wa maana na mtumishi wake. Kisha anatoka yule mwanamke aliye mtelekeza na watoto akiwa dhoofulihali. Kisha inaishia hapo

Nadhani mzee baba uje na wimbo wa amerudi kabisa. Ile clip ya mwisho imekaa poa balaa
 
jinsi mnavyomsifia kwenye hii thread ni ngumu kuamini kuwa ndo nyie mnamponda Leo
 
jinsi mnavyomsifia kwenye hii thread ni ngumu kuamini kuwa ndo nyie mnamponda Leo
Harmo alikuwa anapendwa Sana alivyokuwa WCB baada ya kutoka mashabiki wengi wamemuama ndomaana unaona hivyo na ndio mashabiki tulionao bongo.
 
Back
Top Bottom