Nimekuwa na tazama video ya harmonize ya wimbo wake wa atarudi lakini hiki kipande cha mwishoni nilikuwa sijakiona. Mwishoni anaoneka harmonize na mvi kibao akiwa na mjengo wa maana na mtumishi wake. Kisha anatoka yule mwanamke aliye mtelekeza na watoto akiwa dhoofulihali. Kisha inaishia hapo
Nadhani mzee baba uje na wimbo wa amerudi kabisa. Ile clip ya mwisho imekaa poa balaa
Nadhani mzee baba uje na wimbo wa amerudi kabisa. Ile clip ya mwisho imekaa poa balaa