Harmonize una cha kujifunza, kutoka kwa Mwijaku na H-Baba

Harmonize una cha kujifunza, kutoka kwa Mwijaku na H-Baba

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Tunaweza kusema hawa mabwana wanatafuta pesa, ila ukweli ni kwamba Harmo anatakiwa awe makini sana na wanaojiita machawa wake huenda ndio wana "msnitch"
IMG_20220529_205652.jpg
IMG_20220529_210217.jpg



NB: "Ukiwa fukara kamwe huwezi kuwa kiburi, maskini jeuri ni msemo tu usiuweke kwenye akili" - Mwana FA.
 
Tunaweza kusema hawa mabwana wanatafuta pesa,ila ukweli ni kwamba Harmo anatakiwa awe makini sana na wanaojiita machawa wake huenda ndio wana "msnitch"
View attachment 2243835View attachment 2243838


NB: "Ukiwa fukara kamwe huwezi kuwa kiburi,maskini jeuri ni msemo tu usiuweke kwenye akili" - Mwana FA.
Ila jamani watu inabidi kujipanga na maisha ya mbele. H-Baba kwa umri wake na anayoyafanya ni kama ana njaa imepitiliza na kama vile akili yake haiko sawa.

Mwijaku huyo walau namwelewa maana uchawa wake at least anaweza mpgia simu hata RC akapokea fasta na akajua kapigiwa na mwijaku na pia anakula videal kama wasafi bet, baba levo huyo nishamkubali jinsi alivyo.

Ila watu kama H-Baba hata diamond awe nao makini maana alianza kumtafuta toka kitambo toka enzi za my number 1 anamsnitch
 
Kigoma zamani tulikuwa tunajua wanatoka mastaa wa soka, saizi wanakuja watu ambao wanatamani hadi kuzaa.......
 
Ila jamani watu inabidi kujipanga na maisha ya mbele. Hbaba kwa umri wake na anayoyafanya ni kama ana njaa imepitiliza na kama vile akili yake haiko sawa. Mwijaku huyo walau namwelewa maana uchawa wake at least anaweza mpgia simu hata RC akapokea fasta na akajua kapigiwa na mwijaku na pia anakula videal kama wasafi bet, baba levo huyo nishamkubali jinsi alivyo.
Ila watu kama hbaba hata diamond awe nao makn maana alianza kumtafuta toka kitambo toka enzi za my number 1 anamsnitch
hbaba ana njaa wakati ana drive prado? Je wenzangu na mie pangu pakavu hatuna ata baskeli utasemaje?
 
Back
Top Bottom