Harmonize una cha kujifunza, kutoka kwa Mwijaku na H-Baba

Harmonize una cha kujifunza, kutoka kwa Mwijaku na H-Baba

Nyie mnaijua NJAA kweli au mnasimuliwa? Acheni watafute ugali wa watoto wao
 
Nchi ilivyo usishangae Mwijaku anakula ubunge pale Kazulamimba kigoma Tena bila kupingwa 2025
 
Nchi ilivyo usishangae Mwijaku anakula ubunge pale Kazulamimba kigoma Tena bila kupingwa 2025
Km kibajaj ,msukuma ,japepole ni wabunge why not kwa mwijaku mwenye degree Tena degree ya udsm?

Pia mwijaku Hadi alivyo Ana sifa ya kuwania urais maana sharti ili uwe raisi lazima uwe na degree kuanzia moja na mwijaku anayo.

Jamaa usimchukulie poa ,hapo anatafuta ugali tu.
 
Ukweli mchungu ni kwamba watu wamemchoka Diamond, lakini Diamond ni msanii na mfanyabiashara mzuri wa music, anajua kuwapa watu nini wanataka.
Watu wanatamani wapate mtu atakaye mchallenge Diamond kiukweli lakini hakuna anayetokea, walianza kumpa support Kiba ili ampe upinzani Diamond lakini Kiba hajui nini cha kufanya, wamekuja kwa Mmakonde kwa kumpa kila support lakini yeye ndio kwanza kashalewa sifa, hajui hata nini sasa anatakiwa kufanya, anahisi yuko sawa na Diamond wakati bila chuki za watu wengi kwa Diamond Mmakonde level yake ni Mboso
 
Back
Top Bottom