Harmonize una cha kujifunza, kutoka kwa Mwijaku na H-Baba

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Tunaweza kusema hawa mabwana wanatafuta pesa, ila ukweli ni kwamba Harmo anatakiwa awe makini sana na wanaojiita machawa wake huenda ndio wana "msnitch"



NB: "Ukiwa fukara kamwe huwezi kuwa kiburi, maskini jeuri ni msemo tu usiuweke kwenye akili" - Mwana FA.
 
Ila jamani watu inabidi kujipanga na maisha ya mbele. H-Baba kwa umri wake na anayoyafanya ni kama ana njaa imepitiliza na kama vile akili yake haiko sawa.

Mwijaku huyo walau namwelewa maana uchawa wake at least anaweza mpgia simu hata RC akapokea fasta na akajua kapigiwa na mwijaku na pia anakula videal kama wasafi bet, baba levo huyo nishamkubali jinsi alivyo.

Ila watu kama H-Baba hata diamond awe nao makini maana alianza kumtafuta toka kitambo toka enzi za my number 1 anamsnitch
 
Kigoma zamani tulikuwa tunajua wanatoka mastaa wa soka, saizi wanakuja watu ambao wanatamani hadi kuzaa.......
 
hbaba ana njaa wakati ana drive prado? Je wenzangu na mie pangu pakavu hatuna ata baskeli utasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…