Ukweli mchungu ni kwamba watu wamemchoka Diamond, lakini Diamond ni msanii na mfanyabiashara mzuri wa music, anajua kuwapa watu nini wanataka.
Watu wanatamani wapate mtu atakaye mchallenge Diamond kiukweli lakini hakuna anayetokea, walianza kumpa support Kiba ili ampe upinzani Diamond lakini Kiba hajui nini cha kufanya, wamekuja kwa Mmakonde kwa kumpa kila support lakini yeye ndio kwanza kashalewa sifa, hajui hata nini sasa anatakiwa kufanya, anahisi yuko sawa na Diamond wakati bila chuki za watu wengi kwa Diamond Mmakonde level yake ni Mboso