Harmonize Vs Diamond

umetumia vigezo gan hadi useme mond kafunikwa??ebu mwambie huyo harmo atoke wcb tuone kama ni kwel mkal
 
Una matatizo bora hata raymond kuliko yule boya
Wcb skendo 100% kuimba 0 kiki 100% rayvanyy anajua kuliko msanii yeyote wcb nyi endeleeni na kiki insta kama kawaida yenu
 
Hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Una matatizo bora hata raymond kuliko yule boya
Wcb skendo 100% kuimba 0 kiki 100% rayvanyy anajua kuliko msanii yeyote wcb nyi endeleeni na kiki insta kama kawaida yenu
Sure mkuu Raymond yuko vizur halaf hapend kiki
 
we kaka sio mzima
harmonize ana uandishi gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hivi unajua kua uandishi ndo unambeba sana chibu[emoji23]
anaandika vitu ambavyo watu wanavipenda ndo mana anasanua

angekua anaandika kama story asingetoka ..
 
Homornize bado sana ww,piga ngoma ile ntalejea linganisha na matatizo uone pumba ulizoandika hapa na hiyo ni ya dhamani huko sasa, bado utanipenda ww,kitu kingne kamwambie hahaha aise watu wengne bana sijuw waga mnakula maharage ndo unaingia jf? Duuu!! unalazimisha kifalanga kutaga yai uwiiiiii.
 
Kwa taarifa yako ni kwamba hiyo nyimbo matatizo unaisikiliza kwakua huyo dogo yupo na diamond. Kama asingekuwa WCB angeishia kuzunga nayo mikononi
 
Kwa taarifa yako ni kwamba hiyo nyimbo matatizo unaisikiliza kwakua huyo dogo yupo na diamond. Kama asingekuwa WCB angeishia kuzunga nayo mikononi
Umeongea point mkuu kuna madogo wanajua sana sema hawana kiki
 
[emoji3] [emoji81] [emoji81] [emoji99] [emoji99]
 
hapendi?
kwani harmonize alianzaje[emoji23][emoji23]
Huyo ni harmonize hapa tunamsema Raymond ni watu wawili tofauti , harmonis anapenda sifa ndo maana c unajua watu wa nanjilinji[emoji12] [emoji12]
 
Nyimbo za diamond ambazo ikipigwa kidogo zinanikosha , kamwambie, mbagara, nitarejea basi kwisha habar yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…