Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Duh!! Kazi ipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule jamaa aliyekukataga mapanga angekukata tuu na vidole ili usiwe unacomment ushuzi.Watu kama hawa ndio tatizo zaidi ya Lowassa Tanzania
Mpigie cmYule jamaa aliyekukataga mapanga angekukata tuu na vidole ili usiwe unacomment ushuzi.
Ovyo wewe kama comments zako.Watu kama hawa ndio tatizo zaidi ya Lowassa Tanzania
Mapovuuu[emoji14] [emoji14] [emoji14]mkuu sijui hizi pumba ulizifikiriaje, daaah ww sikiliza nyimbo usifikirie kulinganisha watu, haitakusaidia
Kuna siku nilitaka kusema hilomkuu we hauoni njia anazopita harmonizer ni copy kwa bos wake kwanzia sauti ata baadhi ya maneno yanajirudia "tafarani"kwa unyonge
Hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa ni wale wasiokuwa na kazi za kufanya wanaoshinda mitandaoni kuanzisha mateam ya majungu. Huwa wanaanza hivi hivi kutengeneza choko choko, kesho na keshokutwa unasikia team harmonize na timu diamond. Kuna haja haya mavifurushi ya chuo kufungiwa maana ndio yanayoleta adha yote hii.
Sure mkuu Raymond yuko vizur halaf hapend kikiUna matatizo bora hata raymond kuliko yule boya
Wcb skendo 100% kuimba 0 kiki 100% rayvanyy anajua kuliko msanii yeyote wcb nyi endeleeni na kiki insta kama kawaida yenu
hapendi?Sure mkuu Raymond yuko vizur halaf hapend kiki
Kwa taarifa yako ni kwamba hiyo nyimbo matatizo unaisikiliza kwakua huyo dogo yupo na diamond. Kama asingekuwa WCB angeishia kuzunga nayo mikononiNaogopa na ninaona kabisa tukichukua 3 latest release za diamond na harmonize, harmonize amemfunika diamond katika uandishi na mashairi.
Tukichukulia mfano wimbo wa diamond na papa wemba, na wimbo wa harmonize matatizo. Unaona kabisa dai kafunikwa.
namshauri harmonize atoke WCB akajitegemee mana ni mkali kuzidi diamond.
Ila ni kawaida mwanafunzi huwa anakuwa mzuri kuliko mwalimu
Umeongea point mkuu kuna madogo wanajua sana sema hawana kikiKwa taarifa yako ni kwamba hiyo nyimbo matatizo unaisikiliza kwakua huyo dogo yupo na diamond. Kama asingekuwa WCB angeishia kuzunga nayo mikononi
Huyo ni harmonize hapa tunamsema Raymond ni watu wawili tofauti , harmonis anapenda sifa ndo maana c unajua watu wa nanjilinji[emoji12] [emoji12]hapendi?
kwani harmonize alianzaje[emoji23][emoji23]
Nyimbo za diamond ambazo ikipigwa kidogo zinanikosha , kamwambie, mbagara, nitarejea basi kwisha habar yakeHomornize bado sana ww,piga ngoma ile ntalejea linganisha na matatizo uone pumba ulizoandika hapa na hiyo ni ya dhamani huko sasa, bado utanipenda ww,kitu kingne kamwambie hahaha aise watu wengne bana sijuw waga mnakula maharage ndo unaingia jf? Duuu!! unalazimisha kifalanga kutaga yai uwiiiiii.