Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
Amekupa bei gan...Huyu kijana wa kimakonde nimemfatilia tangu mwanzo kiukweli niwakipekee hana majivuno, sio mtu wa media sana au kupenda kuuza sura ni mtaratibu sana nidhamu yake iko juu mno kiukweli wasanii wote wangekuwa hivyo wasanii wangeonekana watu wa maana sana katika jamii tofauti na sasa inaonekana kama wahuni tu watu wasiokuwa na maadili.
Mungu mbariki Harmonize ibariki sana ya Tanzania na taifa letu kwa ujumla.
Matokeo ya kidato cha pili mchujo shule zote top ten za mwisho zimetoka umakondeni unataka kuniambia kuna wasomi! haya bhanaWewe ni bado sana,jiongeze kidogo basi......unaongelea class ipi ya wamakonde???walinzi???......house boy??? hahahahahaaaa.....tunawagongea sana nyie...
Hizi ndiyo akili za Kimakonde, Mkiwa top ten ya shule za mwisho kitaifa kumbe ni haki yenusikuwahi kujua km na wewe una tabia za kichoko,unatumia ID ya kibabe halafu umeweka avatar ya kish.oga.....makumazani!
Umempa jibu mujarrabu kabisa,hao mademu wabongo muvi wengi wauza k,na wajanja wanajua,nashangaa wagonga ulimbo mnavyowahusudu na kuwapapatikia.Wolper au?[emoji23][emoji23][emoji23] shamba la bibi lile kila mjukuu anaruhusiwa kuvuna siku ukija mjini uliza mpwa upelekwe maskani madalali wakupe bei zao.
Watoto wote wa mjini wanajua ile biasharaManeno ya kwenye kahawa jaribu basi utuletee mrejesho si shamba la bibi
Wakija hapa na kukuuliza "kwani makonde chio ntu "uwajibu .Hivi kuna mmakonde anaeijua jf
Yupi yule ata unipe na soda ya baridi simtakiLakini anamkaza demu ambae hata wewe ufanye nini huwezi mpata
Wanaume WA Dar ni mambo ya taarabu kwa kwenda mbeleNawaona wanaume wa daresalama mnamjadili mwanaume mwenzenu
Ha ha ha ha, hata demu wangu?Nenda mlimani city mida ya jioni utawakuta hao madalali wamesimama pale kwenye mlango wa kuingilia jirani na marrybrown, utawaona wavulana kila siku wako pale, waulize demu yoyote watakuletea.
Demu gani uyo wolper? Dooh uko mkoa gani wewe jamaa yani wolper asipatikane uza korosho uje mjini utafune zaidi ya uyoLakini anamkaza demu ambae hata wewe ufanye nini huwezi mpata
Mi naotea hatokujibu.Mkuu unasoma wapi?
Nawaona nawaona mnalishana 2 ubuyuNawaona wanaume wa daresalama mnamjadili mwanaume mwenzenu
Munatuletea ukabila ktk utawala wa hapa kazi tulazima utakuwa mmakonde mwenzie ..hivi korosho kilo bei gani?
Kwani mmakonde sio m2Hivi kuna mmakonde anaeijua jf
Ukiona sura inalipa unakuw mtu wa mediaa sasa wewe kila ukijitokeza unatukanwa mara sura yako kama ulifukiwa kaburin utakuwa wa media hapo
Hahaaaaaaaa!Lakini anamkaza demu ambae hata wewe ufanye nini huwezi mpata
Mungu mbariki Harmonize ibariki sana ya Tanzania na taifa letu kwa ujumla.