Harmonize wa WCB anaonekana tofauti sana na wana WCB wenzake

Harmonize wa WCB anaonekana tofauti sana na wana WCB wenzake

sio kweli bro,,uyo asalimii watu,,majirani na boss wake walimzibia njia coz anawapita bila kuwasalimia mpaka boss wake akamuombea msamaha
Mm mwenyewe namshangaa anavompigia promo MTU mwenyewe anajiskia Ka nn yaani bora hata angesema rayvanny
 
Ndugu wewe wa wapi? Katika wasanii wa WCB harmo ndiyo anaongoza kuchukiwa kama hujui.....kinachomponza kujifanya u -diamond mwingi!! Hizo sifa naomba umpe rayvanny ila sio huyo unaemtaja!!
 
Hapo sijaelewa unamaana gani kusema "sana ya tanzania", na "Tanzania na Taifa letu kwa ujumla"

Unamaana Tanzania ndo kwao harmonize na wewe kwenu bila shaka ni nchini Afrika sio?
Am sorry nimejifunza kiswahili as foreign language nd maana kukiandika napata shida sana
 
Back
Top Bottom