Harmonize, WCB Wasafi mnazingua mnawazingua mashabiki zenu wa WCB na wale wa Harmonize

Harmonize, WCB Wasafi mnazingua mnawazingua mashabiki zenu wa WCB na wale wa Harmonize

homboyz

Senior Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
127
Reaction score
139
Leo siku ya jumatatu imekuwa ikisubiliwa kwa hamu na mafansi wa WCB Wasafi, hususani wale wa harmo,kutokana na kuahidiwa ngoma mpya kutoka kwa harmonize ambaye ngoma yake binafsi ya mwisho ilitoka mwezi wa 6 mwaka jana lakini katika hali ya kushangaza uongozi huo wa WCB unaoonekana kuwa makini sana na kazi zao, na unaoheshimika sana katika music industry ya tz haijaachia nyimbo wala viongozi kutoa taarifa yeyote, hali inayoonyesha sasa wanajiamini na ni kama wauzaji wasiowajali wateja zao
WCB inajipunguzia heshima na kuaminika mbele ya jamii
Ni kama WCB Wasafi wanaanza kuwazingua mafansi zao na wale wa harmonize kwakutotekeleza ahadi zao na hii ni kulewa sifa
Kama utapitia page za insta za harmo, Diamond, tale na WCB wasafi, utakutana na malalamiko mengi sana za mashabiki wao kuhusu ucheleweshwaji huo, na upuuzwaji wa mashabiki kwa uongozi ambao haujatoa taarifa yoyote
 
Marry you ni nyimbo ambayo ipo kwa ajili ya soko la kimataifa, haizuii nyimbo ya harmo
Kijuso ni ya rayvanny na queen ni nyimbo ambayo audio ilishatoka tangu mwezi wa 12 mwanzoni kuchelewa kwa video hakuzuii kutoka ngoma nyingine tena kwa msanii mwingine aliyekaa benchi tangu mwezi wa 6
Kumbuka ni miezi 8 hiyo tangu Matatizo itoke japo alibebwa na nguvu ya colabo inde ya dully
Na hii ngoma mpya ni wao wametangaza
 
nimesikiliza nyimbo mbili za harmonizer happy birthday na acha nilewe nashauri itolewe acha nilewe iyo happy birthday iyo bonus tu
 
harmonize nafasi yake imechukuliwa na harmorappa......akitoa nyimbo tutailinganisha na ya harmorapa.....maana ndio mshindani wake
 
Nazani ngoma ijayo official release ni alomshirikisha mnigeria (simjui nani lkn), ndo mana wanairingishia sana....
 
Wanasubir issue ya vyeti iishe kibiashara sio muda muafaka kutoa Ngoma wakati kiki ni Bashite
 
Wanasubir issue ya vyeti iishe kibiashara sio muda muafaka kutoa Ngoma wakati kiki ni Bashite
hahahahaaaa, nalo neno mkuu, sasa bashite nae si afanye tu aweke mambo hadharani watu tujiridhishe, ili tuendelee kupata burudani aise!
 
hahahahaaaa, nalo neno mkuu, sasa bashite nae si afanye tu aweke mambo hadharani watu tujiridhishe, ili tuendelee kupata burudani aise!
Trust me hiyo ndio sababu hata Marry you imetoka kipindi cha kutangaza majina ya wauza unga ikapotelea hewan
 
Ngoma inayokiki n ya bashite tu harmonize asubili kwanza itakula kwake
 
Marry you ni nyimbo ambayo ipo kwa ajili ya soko la kimataifa, haizuii nyimbo ya harmo
Kijuso ni ya rayvanny na queen ni nyimbo ambayo audio ilishatoka tangu mwezi wa 12 mwanzoni kuchelewa kwa video hakuzuii kutoka ngoma nyingine tena kwa msanii mwingine aliyekaa benchi tangu mwezi wa 6
Kumbuka ni miezi 8 hiyo tangu Matatizo itoke japo alibebwa na nguvu ya colabo inde ya dully
Na hii ngoma mpya ni wao wametangaza
Hizo zote zimebuma.

Wanatoka kutoa wimbo mpya wa kuwabeba
 
WCB na kizazi bongo lala cha Sasa wanaimba ujinga-ujinga ngono,Pombe na Anasa Ndio Yao mashairi 99%.
 
Back
Top Bottom