homboyz
Senior Member
- Oct 19, 2016
- 127
- 139
Leo siku ya jumatatu imekuwa ikisubiliwa kwa hamu na mafansi wa WCB Wasafi, hususani wale wa harmo,kutokana na kuahidiwa ngoma mpya kutoka kwa harmonize ambaye ngoma yake binafsi ya mwisho ilitoka mwezi wa 6 mwaka jana lakini katika hali ya kushangaza uongozi huo wa WCB unaoonekana kuwa makini sana na kazi zao, na unaoheshimika sana katika music industry ya tz haijaachia nyimbo wala viongozi kutoa taarifa yeyote, hali inayoonyesha sasa wanajiamini na ni kama wauzaji wasiowajali wateja zao
WCB inajipunguzia heshima na kuaminika mbele ya jamii
Ni kama WCB Wasafi wanaanza kuwazingua mafansi zao na wale wa harmonize kwakutotekeleza ahadi zao na hii ni kulewa sifa
Kama utapitia page za insta za harmo, Diamond, tale na WCB wasafi, utakutana na malalamiko mengi sana za mashabiki wao kuhusu ucheleweshwaji huo, na upuuzwaji wa mashabiki kwa uongozi ambao haujatoa taarifa yoyote