Harmonize: Wolper ni mke wangu, bado ubani tu

Harmonize: Wolper ni mke wangu, bado ubani tu

Mtateseka Sana na Njia mpaka mje mfike vidole vyote vya miguu Hamna.
Haaa Haaa Nshawaelewa Aisee.
 
Kuna ukosefu wa elimu flani kwa baadhi ya vijana wa Tz wanaodhani wao ni maarufu pia kuna ukosefu wakujiamini media nazo zinawaaribu .Something is Wrong Somewhere
Something is wrong everywhere
 
Ha ha ha ha hatimaye mmakonde mwenzangu wa Libobe njia ya kwenda Kitere baada tu ya kumiliki Mark X, Mmachame wa Kibosho ameamua kubadilika kutoka Jackline Wolper, Jackline Lowasa na sasa anaitwa Jackline Harmonize.
Bado mpya mpya hiyo Ndinga muonyeshe viwanja huyo mutoto wa Libobe.
 
Hivi inawezekana mtoto wa kiume kusagwa?naona vidalili fulani kwa huyu dogo na historia ya huyo mdada ni hataree
 
Back
Top Bottom