Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
China uchumi wanao si haba, kuna mikoa ipo on Par na Nchi za ulaya/marekani kaskazini.Hiki ndicho kilinishangaza mwanzo,iweje jamaa wafrop mpaka kwao!!!
Sasa naelewa maana ya neno mtu akikwambia jitoshereze kiuchumi.
Kiufupi mchina uchumi wake umejengwa juu ya tuta la mchanga.
Issue kubwa ni hio mentality ya Kucopy na kutokuwa na patent system. Yaani ukigundua kitu basi ni cha wote, ina discourage Matajiri na makampuni makubwa kufanya Tafiti.
Ndo maana Aliexpress unakuta Clone inaitwa Mate 20 bila Huawei wamecopy kila kitu, na inauzwa official kabisa, upuuzi kama Huu huukuti nchi zilizoendelea.