Kwani tabu iko wapi?? Mbona hao akina diamond wao wanajipost?Kwahiyo siku hizi kujipost mara unanyweshwa juis, mara kwenda central kutizama kama jina lako lipo mara kudai eti hujaiba dem wa mtu na kushinda kwenye mitandao ya kijamii ndio kuja kwa kasi? Kifupi sijui wimbo ata mmoja wa huyu dogo zaid ya kick za hapa na pale
Umaarufu kunuka, hebu tuwekeeni clip ya nyimbo yake tusikilize, kama ni comedy tayari Joti ndio mmiliki wa hilo eneo yeye amechelewa na hana kipaji hicho.Ndio kashakuwa maarufu hivyo. Kitendo cha nyie kumjua na kumuongelea hapa ndio basi tena kijana keshatoka
Joti hana comedy yoyote na pia keshapitwa na wakati. Haya mambo yake ya kujidai mwanamke sijui dada kiboga. Yashapitwa na wakati tena nae anatakiwa akamatwe kabisa kama delicious. ..Umaarufu kunuka, hebu tuwekeeni clip ya nyimbo yake tusikilize, kama ni comedy tayari Joti ndio mmiliki wa hilo eneo yeye amechelewa na hana kipaji hicho.
Umaarufu kunuka, hebu tuwekeeni clip ya nyimbo yake tusikilize, kama ni comedy tayari Joti ndio mmiliki wa hilo eneo yeye amechelewa na hana kipaji hicho.
Tanzania ni moja ya Nchi burudani tosha!
Hii Mitandao ya kijamii inaburiudan sana,Harmo rapa Mikandamizo inaendelea-anaendela kujizolea umaarufu kama sio umashuhuri haha!
Umaarufu kunawalio zaliwa nao,kunawalioupata kupitia Siasa na Michezo,kunawalioupata kupitia Magumashi ya mjini,kuna uliowafuata Ukubwani.
Joti hana comedy yoyote na pia keshapitwa na wakati. Haya mambo yake ya kujidai mwanamke sijui dada kiboga. Yashapitwa na wakati tena nae anatakiwa akamatwe kabisa kama delicious. ..
Kwa sasa habari ya mjini ni harmorapa... kataa usikatae. Ila ndio ukweli huo
Dah sawa kabisa Mkuu hata Mimi sijui wimbo wake hata mmojaKwahiyo siku hizi kujipost mara unanyweshwa juis, mara kwenda central kutizama kama jina lako lipo mara kudai eti hujaiba dem wa mtu na kushinda kwenye mitandao ya kijamii ndio kuja kwa kasi? Kifupi sijui wimbo ata mmoja wa huyu dogo zaid ya kick za hapa na pale
Unajambajamba tu.Joti hana comedy yoyote na pia keshapitwa na wakati. Haya mambo yake ya kujidai mwanamke sijui dada kiboga. Yashapitwa na wakati tena nae anatakiwa akamatwe kabisa kama delicious. ..
Kwa sasa habari ya mjini ni harmorapa... kataa usikatae. Ila ndio ukweli huo
Unajambajamba tu.Joti hana comedy yoyote na pia keshapitwa na wakati. Haya mambo yake ya kujidai mwanamke sijui dada kiboga. Yashapitwa na wakati tena nae anatakiwa akamatwe kabisa kama delicious. ..
Kwa sasa habari ya mjini ni harmorapa... kataa usikatae. Ila ndio ukweli huo
He he he he he he he, mkuu unatafuta matani ya ngumi na watu.Joti hana comedy yoyote na pia keshapitwa na wakati. Haya mambo yake ya kujidai mwanamke sijui dada kiboga. Yashapitwa na wakati tena nae anatakiwa akamatwe kabisa kama delicious. ..
Kwa sasa habari ya mjini ni harmorapa... kataa usikatae. Ila ndio ukweli huo
Mkuu katafute movie moja hivi inaitwa.. payed us a visit. .