Harmorapa akutana na P - Funk na kuongea mengi kuhusu music

Wanamtengenezea mazingira magumu sana
 
Kwahiyo siku hizi kujipost mara unanyweshwa juis, mara kwenda central kutizama kama jina lako lipo mara kudai eti hujaiba dem wa mtu na kushinda kwenye mitandao ya kijamii ndio kuja kwa kasi? Kifupi sijui wimbo ata mmoja wa huyu dogo zaid ya kick za hapa na pale
Kwani tabu iko wapi?? Mbona hao akina diamond wao wanajipost?

Wewe kinachokuuma harmorapa akijiposti ni nini??
 
Huyu mtoto anapewa kiki za kiboya wakat Kazi zake hazisikiki mtaani uboya huo..matokeo yake jina kubwaaa ukija kuskia ngoma mimavi mitupu nyie mizukule kama ww mtoa post tafuteni nyimbo sake zitupieni humu tuskie siyo habar za Leo kavaa singlend Mara kesho kanyoa kiduku I don't think if we have tym to listen those rubbish.. [HASHTAG]#ACHAMANENOWEKAMUZIKI[/HASHTAG]
 
Yaani kuna watu wanazungumzwa nchi hii kuliko waziri wa Tanganyika na Zanzibar
 
Ndio kashakuwa maarufu hivyo. Kitendo cha nyie kumjua na kumuongelea hapa ndio basi tena kijana keshatoka
Umaarufu kunuka, hebu tuwekeeni clip ya nyimbo yake tusikilize, kama ni comedy tayari Joti ndio mmiliki wa hilo eneo yeye amechelewa na hana kipaji hicho.
 
Tanzania ni moja ya Nchi burudani tosha!

Hii Mitandao ya kijamii inaburiudan sana,Harmo rapa Mikandamizo inaendelea-anaendela kujizolea umaarufu kama sio umashuhuri haha!

Umaarufu kunawalio zaliwa nao,kunawalioupata kupitia Siasa na Michezo,kunawalioupata kupitia Magumashi ya mjini,kuna uliowafuata Ukubwani.
 
Joti hana comedy yoyote na pia keshapitwa na wakati. Haya mambo yake ya kujidai mwanamke sijui dada kiboga. Yashapitwa na wakati tena nae anatakiwa akamatwe kabisa kama delicious. ..

Kwa sasa habari ya mjini ni harmorapa... kataa usikatae. Ila ndio ukweli huo
 
Umaarufu kunuka, hebu tuwekeeni clip ya nyimbo yake tusikilize, kama ni comedy tayari Joti ndio mmiliki wa hilo eneo yeye amechelewa na hana kipaji hicho.

Tanzania ni moja ya Nchi burudani tosha!

Hii Mitandao ya kijamii inaburiudan sana,Harmo rapa Mikandamizo inaendelea-anaendela kujizolea umaarufu kama sio umashuhuri haha!

Umaarufu kunawalio zaliwa nao,kunawalioupata kupitia Siasa na Michezo,kunawalioupata kupitia Magumashi ya mjini,kuna uliowafuata Ukubwani.

Joti hana comedy yoyote na pia keshapitwa na wakati. Haya mambo yake ya kujidai mwanamke sijui dada kiboga. Yashapitwa na wakati tena nae anatakiwa akamatwe kabisa kama delicious. ..

Kwa sasa habari ya mjini ni harmorapa... kataa usikatae. Ila ndio ukweli huo
 
Kwahiyo siku hizi kujipost mara unanyweshwa juis, mara kwenda central kutizama kama jina lako lipo mara kudai eti hujaiba dem wa mtu na kushinda kwenye mitandao ya kijamii ndio kuja kwa kasi? Kifupi sijui wimbo ata mmoja wa huyu dogo zaid ya kick za hapa na pale
Dah sawa kabisa Mkuu hata Mimi sijui wimbo wake hata mmoja
 
Joti hana comedy yoyote na pia keshapitwa na wakati. Haya mambo yake ya kujidai mwanamke sijui dada kiboga. Yashapitwa na wakati tena nae anatakiwa akamatwe kabisa kama delicious. ..

Kwa sasa habari ya mjini ni harmorapa... kataa usikatae. Ila ndio ukweli huo
Unajambajamba tu.
 
He he he he he he he, mkuu unatafuta matani ya ngumi na watu.
 
.. payed us a visit. .
Mkuu katafute movie moja hivi inaitwa
"STATE PROPERTY" ameicheza jamaa moja anaitwa Ben Segal na wenzake. Aisee kiingereza au lugha iliyotumika humo ni pasua kichwa.
 
Back
Top Bottom