Payed us a visit
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wimbo#Nyimbo.Umaarufu kunuka, hebu tuwekeeni clip ya nyimbo yake tusikilize, kama ni comedy tayari Joti ndio mmiliki wa hilo eneo yeye amechelewa na hana kipaji hicho.
Bro hebu google,lakini sisi wajamaica chichi maana yake shoga.chichi man,chichi boy,badili id for good.[emoji48][emoji48][emoji48]
Unamaanisha P Funk anaongea kama kina Ben Seagal?Mkuu katafute movie moja hivi inaitwa
"STATE PROPERTY" ameicheza jamaa moja anaitwa Ben Segal na wenzake. Aisee kiingereza au lugha iliyotumika humo ni pasua kichwa.
Hii itakuwa slang? ama slang haifit hapa....!Umeona lkn hicho Kiingereza!
Mimi ni shabiki wake mkubwa Chifu...Umaarufu kunuka, hebu tuwekeeni clip ya nyimbo yake tusikilize, kama ni comedy tayari Joti ndio mmiliki wa hilo eneo yeye amechelewa na hana kipaji hicho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Okonkwo fala wewe
Okonkwo rapa
***Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi maarufu kama harmorapa leo amemtembelea P funk offisini kwake bongo records kwa mwaliko maalum kujadili mambo ya musiki.
Akihojiwa katika kipindi cha amplifaya clouds fm bwana p funk amemwagia sifa nyingi harmorapa kuwa ni mwandishi mzuri na atakuja kuwa tishio hapo baadae
Kwa picha zaidi kama mnavyoona hapo chini
Kupitia ukurasa wake wa instagram p funk kamposti harmorapa.
Katika tukio jingine kijana harmorapa ameonekana akiwa na burungutu la pesa ambazo bila shaka ameIpatia kwenye kazi yake nzuri ya muziki..
BigDick hili jina lako shikamooHuyu mtoto anapewa kiki za kiboya wakat Kazi zake hazisikiki mtaani uboya huo..matokeo yake jina kubwaaa ukija kuskia ngoma mimavi mitupu nyie mizukule kama ww mtoa post tafuteni nyimbo sake zitupieni humu tuskie siyo habar za Leo kavaa singlend Mara kesho kanyoa kiduku I don't think if we have tym to listen those rubbish.. [HASHTAG]#ACHAMANENOWEKAMUZIKI[/HASHTAG]
Linaendaga central kuangalia jina lake....kutafta sifa tu mwishowe atakuja ***** ili atafte sifa tu***
HIRI NARO ALIJASWEKAWA RUMANDE....
Hivi huyu dogo anatoka mkoa gani maana mmmmh apana
Itakuwa Kusini huko kwa kina harmonize, kati ya mtwara au lindi.Hivi huyu dogo anatoka mkoa gani maana mmmmh apana
Ila majani kasema dogo kaenda kumsalimia tu hamna kazi yoyote hapo labda baadae sanaKweli Shetani akizeeka anakuwa malaika,kipindi hicho bongo record mandezi walikuwa hawasogei.