Harmorapa akutana na P - Funk na kuongea mengi kuhusu music

Harmorapa akutana na P - Funk na kuongea mengi kuhusu music

Umaarufu kunuka, hebu tuwekeeni clip ya nyimbo yake tusikilize, kama ni comedy tayari Joti ndio mmiliki wa hilo eneo yeye amechelewa na hana kipaji hicho.
Wimbo#Nyimbo.
Wewe ndiyo unataka muziki wake!Sisi wengine hivi vituko vyake kwetu ni burudani tosha...He is mysterious super star!
Yeye ameshatoka.Alichobakiza ni kumaintain hii sanaa yake ya 'uigizaji'kupitia social networks...
 
Mkuu katafute movie moja hivi inaitwa
"STATE PROPERTY" ameicheza jamaa moja anaitwa Ben Segal na wenzake. Aisee kiingereza au lugha iliyotumika humo ni pasua kichwa.
Unamaanisha P Funk anaongea kama kina Ben Seagal?
 
Umaarufu kunuka, hebu tuwekeeni clip ya nyimbo yake tusikilize, kama ni comedy tayari Joti ndio mmiliki wa hilo eneo yeye amechelewa na hana kipaji hicho.
Mimi ni shabiki wake mkubwa Chifu...
 
Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi maarufu kama harmorapa leo amemtembelea P funk offisini kwake bongo records kwa mwaliko maalum kujadili mambo ya musiki.

Akihojiwa katika kipindi cha amplifaya clouds fm bwana p funk amemwagia sifa nyingi harmorapa kuwa ni mwandishi mzuri na atakuja kuwa tishio hapo baadae

Kwa picha zaidi kama mnavyoona hapo chini

0efe777731d4bf4909f1075bcbec929b.jpg


Kupitia ukurasa wake wa instagram p funk kamposti harmorapa.


50ee9bdd2b73a64dcc2d18424ad7196c.jpg


Katika tukio jingine kijana harmorapa ameonekana akiwa na burungutu la pesa ambazo bila shaka ameIpatia kwenye kazi yake nzuri ya muziki..
***
HIRI NARO ALIJASWEKAWA RUMANDE....
 
Huyu mtoto anapewa kiki za kiboya wakat Kazi zake hazisikiki mtaani uboya huo..matokeo yake jina kubwaaa ukija kuskia ngoma mimavi mitupu nyie mizukule kama ww mtoa post tafuteni nyimbo sake zitupieni humu tuskie siyo habar za Leo kavaa singlend Mara kesho kanyoa kiduku I don't think if we have tym to listen those rubbish.. [HASHTAG]#ACHAMANENOWEKAMUZIKI[/HASHTAG]
BigDick hili jina lako shikamoo
 
Wanamdhihaki bila ya yeye kujua maskini
 
alishakataa pfunk amesema bado sana kwasasa hawezi kumruhusu arekodi kwenye studio yake
 
Kweli Shetani akizeeka anakuwa malaika,kipindi hicho bongo record mandezi walikuwa hawasogei.
 
Back
Top Bottom