P funk mkubwa ,hamorapa anaonekana mzee kwa sababu ya ugumu wa maisha .Hv hapo mkubwa nani?
Kama kaja mjini kufanya mziki mbona cjausikia. Ni ujinha tu kila ckuP funk mkubwa ,hamorapa anaonekana mzee kwa sababu ya ugumu wa maisha .
Ndio maana kaja mjini kujaribu kuimba kachoka kulima korosho ambao zinamzeesha wala hanufaiki nazo wanaonufaika nazo hata shamba hawalifahamu.
Maana tabia zake duuuuh adi aibuItakuwa Kusini huko kwa kina harmonize, kati ya mtwara au lindi.
Kabisa mkuuKweli Shetani akizeeka anakuwa malaika,kipindi hicho bongo record mandezi walikuwa hawasogei.
Misery loves company plz stay a minute.. payed us a visit. .
Huko ni jamaica na huku ni Tanzania [emoji34]Bro hebu google,lakini sisi wajamaica chichi maana yake shoga.chichi man,chichi boy,badili id for good.
alumni wa International School of Tanganyika huyoUmeona lkn hicho Kiingereza!
Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi maarufu kama harmorapa leo amemtembelea P funk offisini kwake bongo records kwa mwaliko maalum kujadili mambo ya musiki.
Akihojiwa katika kipindi cha amplifaya clouds fm bwana p funk amemwagia sifa nyingi harmorapa kuwa ni mwandishi mzuri na atakuja kuwa tishio hapo baadae
Kwa picha zaidi kama mnavyoona hapo chini
Kupitia ukurasa wake wa instagram p funk kamposti harmorapa.
Ushamba mzigo ulimbukeni fasheni
Katika tukio jingine kijana harmorapa ameonekana akiwa na burungutu la pesa ambazo bila shaka ameIpatia kwenye kazi yake nzuri ya muziki..