Harmorapa apata shavu tena, awa balozi

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,364
Reaction score
4,612
Msanii maarufu na machachari anayetikisa anga za Afrika Mashariki na Kati anayetabiriwa kupata tuzo nyingi mwaka huu kutokana na nyimbo zake kali kuwahi kutokea apa Tz na Afrika kwa ujumla amepata shavu la kuwa balozi na kampuni kubwa.

Ubalozi huo utamfanya kuwa maarufu dunian hasa kutokana kuwa na dola nyingi.

Hongera Harmorapa kiboko ya wachafu.
 
Dahhh siamini kabisa kuwa Hamorapa anempita umaarufu hammonise kimchezo mchezo tu......Jamaa ana nyota kaliiii......na anajua kutafuta kiki balaaaa.Nilipomuona kwenye issue ya Nape ndio nilichoooka!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…