[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aisee. Huyu dogo jina kubwa kutokana na matukio yake kuliko Mziki wake. Mi naijua moja tu, kaimba na Nature lkn sijui hata jina la nyimbo!
[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Anaapishwa lini?
Vipi tena na one eye symbol? Ashaingia chamani nini?
Nongwa sasa..... WapoooooIyo ni kampuni ya utalii,nadhan wamegundua kwamba harmorapa naye ni kivutio cha utalii.
Hicho ni kinywaji kipwa kinatangazwa kinaitwa swala kama Redd's ......Msanii maarufu na machachari anayetikisa anga za Afrika Mashariki na Kati anayetabiriwa kupata tuzo nyingi mwaka huu kutokana na nyimbo zake kali kuwahi kutokea apa Tz na Afrika kwa ujumla amepata shavu la kuwa balozi na kampuni kubwa.
Ubalozi huo utamfanya kuwa maarufu dunian hasa kutokana kuwa na dola nyingi.
Hongera Harmorapa kiboko ya wachafu.
Hamorapa kiboko ya mabisho "Tulikuwa wasafi kabla ya WCB", "Hata mkata mauno anaongea kuhusu mimi". Baadhi ya mistari yake hiyo tujikumbushe kidogo