Harmorapa apata shavu tena, awa balozi

Harmorapa apata shavu tena, awa balozi

Dunia ina vituko sana, hivi huyu nae anajua kuimba?
 
Jitihada alizonazo huyu mtu si za Nchi hii.
 
Hiyo video na Nature hapo rooftop walipo shoot ni sehemu gani Dar?
 
Mara ya pili namuona Majani yupo na Harmorapa mara ya kwanza ni ktk kipindi cha FNL ETV na sasa vipi atakua kaona fursa nini?
 
Msanii maarufu na machachari anayetikisa anga za Afrika Mashariki na Kati anayetabiriwa kupata tuzo nyingi mwaka huu kutokana na nyimbo zake kali kuwahi kutokea apa Tz na Afrika kwa ujumla amepata shavu la kuwa balozi na kampuni kubwa.

Ubalozi huo utamfanya kuwa maarufu dunian hasa kutokana kuwa na dola nyingi.

Hongera Harmorapa kiboko ya wachafu.
9a2f1a02fcf17be0b6a3571e09a66a55.jpg
Hicho ni kinywaji kipwa kinatangazwa kinaitwa swala kama Redd's ......
 
Back
Top Bottom