Harmorapa Fans' Special Thread...

Kwani uyu dogo ana single gani ambalo lina-hit au lipo ktk top ten?
 
Anachezea minyuz na wala sio nywele. Na kama kuna tuzo ya kutafut kiki mim nawashauri wampe tu kabla hakafunikwa na walio polisi
 
Ila hii dudumiz bhana kwa kutafuta kiki tu haijambo any way ndio mambo ya dunia
 
Yaani huyu hata mkimpa wale walimbwende wote wa kwa mswati bado hatoboi.
 
Dhereu ndio nini thatha?
 
Boss kakazadhana umeshawahi kucheza danther (dancer=dance) [emoji23] [emoji23] nilitaka kushangaa leo Hamorapa kaenda wapi!!
 
Harmokiki tumia fursa ndo wakati wako ila tupia hata singo ya kukopi tu tusikie kipaji chako.
 
Kati ya watz wa4 m1 chizi huyu morapa si mZima kama c chizi bac zombi
 
Kweli wanawake hawana huruma huyu mama ameamua kumkamua dogo aishe kabisa asepe zake maana ukiwaangalia kama shamba boy na boss wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…