NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Huyu Dogo anavituko kama Mzee juto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.. Humu ndani usipokuwa mvumilivu unaweza kutoka unajihisi kama Mwalimu wq lugha aliyemaliza kusahisha mtihani.Unajua maana ya kuwa sober?
Mi nimeisikia 'uthitoe pathi'Hujasikia singo yake ya 'usitoe pasi'?
Dhereu ndio nini thatha?Imebaki kuletewa harmorappa AKINYAAAA......ahahahaaa.
Ila mbona dogo anawatia jambajamba timu fulani hapa mjini...MULIYAANZA WENYEWEEEE ohhho kaiba jina letu mara ohhh kafanana na nyani mara sokwe.....sasa dogo ameamua kuwanyoooshaaaaa....dogo anayajua malavidav balaaa kuliko hata aliyeporwa jina. ....
SIKU MUKIACHA DHEREU NDIO SIKU DOGO ATAACHA KICK NA UTAFUATA MUZIKI.......
Nafikiri hiyo 'sober' umeitumia ndivyo- sivyoHalafu mbona kama bosi yuko "sober" na wala cjamsikia kwenye list ya Makonda! Aripoti central faster!
"Inde mama inde"Huyu dogo kaimba wimbo upi
Siujui wimbo hata mmoja wa huyu dogo zaidi naona vituko vyake tu vya kijinga
Bora upewe akiri ya ya kujitambua ila ukinyimwa unakua video kwa jamiiMjini maigizo mengi.View attachment 467644
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Sio siri jamaa ana sura ngumu,
Huyu dogo kuna mtu anamtuma kufanya ujinga huu ila anamtesaHaka kadogo kahuni tu!