Harmorapa Fans' Special Thread...

Hahaha Kwa hiyo na nyie MNAAMINI hizi story za uzushi... Sio kweli jamaa Anatafuta tu kick muwage mnashirikisha akili kwanza na kujua ukweli ili muweze ku judge realities and truth
mm huyu jamaa wakati anatoka nilikua shabiki yake no 1 lakini kwa hizi kiki ameanza kunishinda.........
 
Hivi Soudy Brown mbona kama ana akili za kishoga huyu kijana? Kuna anayemshikisha ukuta zaidi ya Lulu?
 
[HASHTAG]#Harmorapa4mtvbase2017[/HASHTAG]
 

Hapa anacheka


Hapa yuko na bonge la demu mimi, wewe na WCBOO tutaishia kulike picha.


Hapa yupo na Bill Nas, Harmorapa akaiweka Insta, Bill Nas kwa ubishoo wake kaona picha imepigwa kwa kamera ya galaxy s3 hajaiweka IG. Mabishoo washazoea photoshoot nini si unajua....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…