Harmorapa Fans' Special Thread...

Nyinyi pigen tu mzgo tena mnajisif et natumia ndom mtaendlea kufa kwa ukimw tuu na kujiamn kwenu ck ya kwanza ndom ck ya pl et oh namwan napiga kav ndo UKIMWI UNATUMALIZA HVOOO Nawakiliiiiiiiiishaaaaaaaaaaaa
 
bothi wangu irene thabukaaa.. ni bothi mzuri sana
 
huyu jamaa mbona anaongelewa sana mitandaoni .. nahitaji kumjua zaidi.. jina lake la serikali anaitwa nani ?
 
[HASHTAG]#Harmorapa4KILIMUSICAWARDS2017[/HASHTAG]
 
KIKI ZA HUYU boya zinakeraaaaaaaa
ANANUKA USHAMBA kwisha kazi!
sura mbaya kama makumbi ya Nazi!

anaongea mdomo mzito kama kafungiwa koleo mdomo wa chini!
yani YUUUUUUUUUUUUUCK!
KICHEFU CHEFU PLUS PLUS!
sasa hapo kafanishwa na harmonize pumbaaavu huyu wangemfananisha na kina mwanafa sijui solo thang , jmoo ,juma nature and the like SI ANGEKUWA ANAKUNYA BARABARA ASBH MCHANA NA JIONI?
Psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kuonyesha upumb*vu wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…