Harmorapa Fans' Special Thread...

kwa hiyo kuonana na gigy kuna hitaji mtonyo?
Inaweza isihusishe mtonyo, ila huko kupanga kuonana si lazima kuwe na ushawishi fulani...au utavizia tu kila kona ukimuona mpige naye picha?.

Hiyo mikutano na Watu hao ndio inaleta maswali, ni ngumu kufikiri kuwa ana bahati ya kukutana nao kwa bahati tu kila aendapo.
 
Hao ndio wapambanaji wenyewe sasa,struggle haizihitaji uwe bishoo na kuwa na aibu kisa kujifanya matawi wakati kajamba nani,huyo kijana namsifu sana kwa ubunifu wake wa kutafuta mapene sio nyie mnaozurura na bahasha mchana kutwa mkiwapigia watu magoti kuomba kazi bila mafanikio
 
Unaambiwa baada ya Gigy Money kupigwa chini sasa Harmoraper Mzee wa kunwaga madola dola amkamata mtoto Amberlulu...Unamshauri nini huyu jamaa ni kweli Mademu wanamzimia au wanafuata pesa zake.....!!!
Aiseee


[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Haya bhana sokwe mtu mwacheni ajilie vyake
 
Aisee hua nafikiria sana kuhusu huyu bwamdogo sipati jibu, who is paying this girls to make nude photo with this boy, who is behind this, How does he/she benefit from this, Kama ni edited pics okey otherwise hii ishu ni kubwa kama ya vyeti feki, Ila timu ya dogo inatumia nguvu kubwa sana, I am sure harmorapa will go no where.
 
Nataman amgonge pia demu wa iyobo anaitwa nan sijui yulee shangaz ezekiel
 
Wametisha sana sana wote wawili ..yach!
 
Huyu dogo mwisho wake utakuwa kama wa yule mwanamziki wa TAKEU! Naye alianza hivi lakini mwisho wake aliikimbia Tanzania.Mwisho wake ni mbaya sana.
 
Huyu dogo mwisho wake utakuwa kama wa yule mwanamziki wa TAKEU! Naye alianza hivi lakini mwisho wake aliikimbia Tanzania.Mwisho wake ni mbaya sana.

Acha kupiga ramli kwenye maisha ya wenzako. Fanya kazi tafuta zako. Wewe mwisho wako unajua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…