FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Inaweza isihusishe mtonyo, ila huko kupanga kuonana si lazima kuwe na ushawishi fulani...au utavizia tu kila kona ukimuona mpige naye picha?.kwa hiyo kuonana na gigy kuna hitaji mtonyo?
Hiyo mikutano na Watu hao ndio inaleta maswali, ni ngumu kufikiri kuwa ana bahati ya kukutana nao kwa bahati tu kila aendapo.